AmaL HousE provides a platform for estate agents, brokers and developers to showcase their property portfolios to both local and international buyers. Buyers are able to view an extensive range of properties, in various property categories, via our 'user-friendly' Property Portal http://amalhouses.blogspot.com/


wekeni picha kubwa basi....mnapigia na simu nini?
ReplyDeletesasa huyu mtu wako ana sema easy to usse website mbona hana email? mwambie aache ushamba ukamilike ndio uje hewani.
ReplyDeletena hiZo bei anajiwekea tu au? kwa mfano nyumba moja kubwa inapangishwa kwa tshs 450,000/- kwa mwezi alafu nyumba kama hiyo hiyo chini yake inapangishwa kwa $ 2500 kwa mwezi.
ReplyDeleteWabongo kweli biashara hatuwezi. Bei zinapanda na kushuka kutegemea na mnunuzi :)
Wekeni bei nzuri mpate watu. Au jengeni nyumbani ambazo zitakuwa nafuu kwa wabongo then you will make a lot of money.
Bado inaonyesha kwa jinsi gani wabongo tupo nyuma. We unaweka website ambayo kwanza si USER FRIENDLY, to prove more how the site is bogus and crap, hizo pics hazifunguki kubwa. Bei za kupangisha hazi specify kama nyumba inapangishwa kwa mwezi, miezi sita au mwaka. Organise kazi yako kabla ya kuanza kui market, Usiendelee kuboa watu.
ReplyDeleteBwana hebu tafuta website basi multi millionear real estate agent unatumia blog?????? Tumia hata myspace or face book basi.....
ReplyDeleteHalafu unamaana gani ukisema hiyo ni apartment ....that house ni apartment au ziko nyumba nyingi humo ni picha haijielezi vizuri au unarent rooms tu kwa watu tofauti???? Kuwa serious kama unafanya biashara ya hela yote hiyo
Hizo bei unajiwekea tu au unajua maana yake??? eti us 350,000!!kwikwi wabongo bwana!!! weka bei ya kueleweka utape wateja!
ReplyDelete