mkuu wa wilaya ya nanihii (pichani) amefanyiwa intavyuu na bongocelebrity.com kuhusiana na mstakabali mzima wa kuamua kubadili anuani ya globu ya jamii kutoka issamichuzi.blogspot.com kwenda www.michuzi-blogspot.com. pamoja na kuanzisha libeneke la video kupitia mtandao wake mpya unaokwenda kwa jina la www.bongotyube.com.

bofya hapa umsikie anasema nini kwenye intavyuu hiyo....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 04, 2008

    Hivi Mh Mkuu wa nanihii, kwa nini umeamua kwenda kujitangaza knye ile blogu???!!!??? Hivi we umekua misi au modo???!!! Mi nakuheshimu sana, pia naiheshimu sana blogu yetu ya jamii; kwa nini hayo mawazo yako usiyamwage hapa kwenye blogu yetu??? yaani ulichokifanya ki tofauti kabisa na kuendeleza "libeneke". nyway, sorry kama nimekukwaz, lakini binafsi imeniuma sana; najua utabana huu ujumbe lakini msg sent!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 04, 2008

    Huyo Annony Wa Kwanza inaonyesha ni dhahiri kabisa hajaisoma Intavyuu ya Michuzi na BC. Amekurupuka!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 04, 2008

    NASIKITIKA WENZANGU WANAKUPATA MIMI SIKUPATI NAONA HIYO EMAIL HAPO MBELE SI YENYEWE, MICHUZI UNAPATIKANA KWA EMAIL GANI maana ya issamichuziATgmail sikupati, au husomi mails zote? Nimejaribu kusechi naishia kusoma kuwa ulibadili ikawa AT yahoo wakati ulilizwa na wakadai upo naijeria, sasa naogopa kutuma ya at Yahoo mana hujaiweka officially hapo mbele, nisaidie apakati_ya_chembe_au_kidevuATyahoo.com

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 04, 2008

    Michuzi hongera kaka, kazi yao ni nzuri keep it up. wapo watakaokukosoa kama kawaida yao, kwa kuwa ulishawazoea waache wasafishe vinywa, wewe kandamiza mambo kwenye tovuti.

    kipimautu

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 04, 2008

    Vipi Konooooz,Hongera sana.You have now made one important step forward!More Big ones yet to come.With a little bit of 'Amani na Utulivu ofcourse na Uvumilivu'you should make it!Tupo nawe Mze wa Konoooooooooz!Vipi Ar town supu ya utumbo bei gani sasa?

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 04, 2008

    The Fulanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaz!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 05, 2008

    we anon wa 1 pumba uliloliandika sijui umelikoboa wapi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...