mkuu wa wilaya ya nanihii (pichani) amefanyiwa intavyuu na bongocelebrity.com kuhusiana na mstakabali mzima wa kuamua kubadili anuani ya globu ya jamii kutoka issamichuzi.blogspot.com kwenda www.michuzi-blogspot.com. pamoja na kuanzisha libeneke la video kupitia mtandao wake mpya unaokwenda kwa jina la www.bongotyube.com.bofya hapa umsikie anasema nini kwenye intavyuu hiyo....


Hivi Mh Mkuu wa nanihii, kwa nini umeamua kwenda kujitangaza knye ile blogu???!!!??? Hivi we umekua misi au modo???!!! Mi nakuheshimu sana, pia naiheshimu sana blogu yetu ya jamii; kwa nini hayo mawazo yako usiyamwage hapa kwenye blogu yetu??? yaani ulichokifanya ki tofauti kabisa na kuendeleza "libeneke". nyway, sorry kama nimekukwaz, lakini binafsi imeniuma sana; najua utabana huu ujumbe lakini msg sent!!
ReplyDeleteHuyo Annony Wa Kwanza inaonyesha ni dhahiri kabisa hajaisoma Intavyuu ya Michuzi na BC. Amekurupuka!
ReplyDeleteNASIKITIKA WENZANGU WANAKUPATA MIMI SIKUPATI NAONA HIYO EMAIL HAPO MBELE SI YENYEWE, MICHUZI UNAPATIKANA KWA EMAIL GANI maana ya issamichuziATgmail sikupati, au husomi mails zote? Nimejaribu kusechi naishia kusoma kuwa ulibadili ikawa AT yahoo wakati ulilizwa na wakadai upo naijeria, sasa naogopa kutuma ya at Yahoo mana hujaiweka officially hapo mbele, nisaidie apakati_ya_chembe_au_kidevuATyahoo.com
ReplyDeleteMichuzi hongera kaka, kazi yao ni nzuri keep it up. wapo watakaokukosoa kama kawaida yao, kwa kuwa ulishawazoea waache wasafishe vinywa, wewe kandamiza mambo kwenye tovuti.
ReplyDeletekipimautu
Vipi Konooooz,Hongera sana.You have now made one important step forward!More Big ones yet to come.With a little bit of 'Amani na Utulivu ofcourse na Uvumilivu'you should make it!Tupo nawe Mze wa Konoooooooooz!Vipi Ar town supu ya utumbo bei gani sasa?
ReplyDeleteThe Fulanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaz!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeletewe anon wa 1 pumba uliloliandika sijui umelikoboa wapi
ReplyDelete