Home
Unlabelled
jk akutana na viongozi wa dunia mkutano wa G8 japan
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kaka micchuzi kema?nashangaa sana rais wetu kila siku yupo mikutanoni na ni mikutano ya kimataifa,kama huo wa G8,lakini CNN,BBC,NA hata magazetini hatuoni habari za rais wetu,sasa tunajivunia nini na nchi yetu?yani nyinyi waandish wa habari wa tanzania mnatuangusha sana!au sababu hakuna viita kwetu ndo mana hatumuoni?au tatizo la wa waandishi wetu wa habari hawana taaluma?embu kaka nisaidie manake roho inaniuma sana nchi yetu kutotangazwa duniani.
ReplyDeleteFace Saler....Job True True
ReplyDeleteJK apunguze kucheka cheka hovyo,Rais sometimes inabidi awe serious.Ila kwa mambo mengine JK yupo juu sana kulinganisha na viongozi wengi wa Afrika.I like him the way he handled things back home.Keep it up,JK.Waosha vinywa nawasubiri kwa hamu sana.
ReplyDeleteSWALI TU:Ni rais gani bongo aliyeweza kumuwajibisha PM toka nchi yetu ipate uhuru?
JIBU:Only JK.
He is good and professional.
wewe uliyetoa comment ya kumuwajibisha waziri mkuu,hujui kwamba deal hiyo rais alikuwemo,
ReplyDeleteHuo ndio mtazamo usio na mawazo wala busara. Kumuwajibisha PM sio uongozi...the issue ni kwamba hakuna raisi wa wali aefanya kosa la kumpatia kazi fisadi kwahiyo hakukuwa na haja ya kumuwajibisha mtu ..... mwamkumbuka Moringe? Acha kubonga kama huna mada.Ngoma watu sio mlio.
ReplyDeletekusema ukweli JK anaitangaza nchi,saa hivi hata tuko kwenye ramani ya dunia,sema vyombo vya nyumbani mmelala sana,habari ya rais wenu nnachukua kweny stesheni za nje,jana cnn walimpa shavu sana JK,na walimrusha hewani.piga kazi baba kwani nchi bila kujulikana ni kama bure,utalii ndo unaongoza duniani kwa kuingiza hela,kuliko hata mafuta,wakati mkapa anaondoka utalii ilikuwa ya nne kuchangia bajeti kuu,now pamoja na sekta ya mawasiliano na fedha kukuwa kwa spidi lakini utalii inaongoza,inaonesha ni kiasi gani nchi yetu ikitangazwa vizuri uchumi utaenda juu sana,watani wetu kenya wanavivutio kidogo lakini kwa ajili wa kujulikana wanaingiza hela mingi sana kwenye utalii,atlist 2012 tuwe tumewafikia kwa kupokea wageni,na hii inawezekana kama tutaliwezesha shirika letu la ndege kuruka nje ya mipaka.bravo JK
ReplyDeleteCHADEMA mbona wataonga gere kwa haya mapichazzz
ReplyDeleteKwa kweli huyo dada wa kwanza ameongea kitu cha kweli, hawa waandishi wetu, sielewi wanafanya nini katika kuchangia kuitangaza nchi yetu, wao wamekalia kuandika habari za ma-daladala vibaka na vioja vya mitaani. hakuna hata mmoja aliyejitolea kufanya kazi kwa manufaa ya Taifa(kuitangaza nchi) sijui ni lugha ndiyo inawakwamisha au ni ukosefu wa chembechembe za uzalendo.
ReplyDeletejk msanii hapo mada kubwa ni mzee castro an mugabe na jk wote hao wanawe, hivyo hapo pachanga tu linaendelea mugabe bwana hafai tunampa siku kumi uchaguzi urudiwe akiwa na mugabe hakuna shaka mzee mdogomdogo
ReplyDeleteJuzi juzi mkuu amekosa mkutano wa nchi za kusini akamtuma waziri wa michezo. Hayati Mchonga ndio alikuwa mwenyekiti akijaribu kuongoza kuunganisha nguvu kwa maskini ili tujitegemee. Badala yake mkuu kaenda kutembezea bakuli G8. Ndio kumuenzi baba wa taifa kwenyewe huko.
ReplyDeleteMY PRESIDENT'S "DRESS CODE".
ReplyDeletePHEEEW!
nimesoma leo kwenye ukurasa wa kwanza wa gazeti la metro hapa ottawa kuhusu jakayas stand on zimbabwen issue na picha yake na title juu ikawekwa ,kwahiyo nataka kukufahamisha wewe mdau unaefikiria kuwa jk hazingumziwi..
ReplyDeletemdau
ottawa-canada
Hivi na Tanzania nayo iko kwenye G8!?
ReplyDeleteMweee basi tumeendelea
Huyu jamaa kwa kuzurula hajambo. Hiyo G8 inamuhusu nini? Kwa nini asiende kwenye mkutano wa nchi za kusini mwa Africa kujadili mambo ya nchi wanachama? Hiyo mijamaa mizungu ya G8 inamfuta kisogo tu hajijui. Hihihihihi
ReplyDeleteJK Suti waachie wazungu wewe vaa kaunda ndio mavazi yetu tangu uhuru. Haya angaalia anavyochemsha, formal occassion yeye anavaa smart casual aibu tupu. Kama haujui kila mavazi yana maana nani katika mkutano huo ka mix rangi za suit zaidi yake yeye. Na nyie mnaosema nchi itangazwe nini mnachoitahi umaaruzu? au nini, nchi bado ndogo na masikini na bila hao G8 wote mtakufa na njaa. sisi ni ombaomba na hao ndio watoaji misaada. hamna issue bongo. Bola tukae huku Ulaya mpaka milele.
ReplyDeleteMsikilizeni Jk hapa jamani!
ReplyDeletehttp://www.whitehouse.gov/news/releases/2008/07/20080707-2.wm.v.html
Abracadabra is also there in Politics and this is what it is!As if TZ was a success economic story worth being an african model!Nawapa pole sana watanzania wenzangu kwa maumivu makali!Usicheke niko serious bro!Brandishing in photos with SuperPowers but in preformance back at home even Burundi looks a Goliath in economics!Karata Tatu...mchezo wa kuotea...nani aliyezubaa....nitokee huku...
ReplyDeleteAbracadabra is also there in Politics and this is what it is!As if TZ was a success economic story worth being an african model!Nawapa pole sana watanzania wenzangu kwa maumivu makali!Usicheke niko serious bro!Brandishing in photos with SuperPowers but in preformance back at home even Burundi looks a Goliath in economics!Karata Tatu...mchezo wa kuotea...nani aliyezubaa....nitokee huku...
ReplyDeleteJK sogea nikubuthuuuu
ReplyDeleteWewe unayesema bora mkae Ulaya mpaka milele, milele? Unajua maana ya milele? Huna hata chembe ya uzalendo, ndivyo watanzania mlivyo! Mpo kwenye nchi za watu walizojenga wenyewe kwa akili zao,halafu wewe unajivuna kuishi humo!..... Aibu tupu!
ReplyDelete