makamu mwenyekiti wa ccm (visiwani) na rais wa zanzibar mh. amani abeid karume akifungua semina ya siku moja ya wajumbe wa kamati maalumu ya halmashauri kuu ya chama hicho katika makao makuu ya ofisi za ccm kisiwandui, unguja. shoto ni rais mstaafu alhaj ali hassan mwinyi na kulia ni katibu mkuu wa ccm, mh yusuf makamba
mbunge wa igunga mh. rostam aziz akisalimiana na mzee macho ame huku mzee ayoub kiloko akitazama leo nje ya makau makuu ya ccm ya kisiwandui



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 19, 2008

    katibu mkuu na kalamu mpaka leo hehehehehehehe....bongo tambarareeeeeee technologia isituache basi

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 21, 2008

    Baba yako mwenywewe hajui hata kutumia hiyo kalamu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...