mdau popote ulipo,

naomba uungane nasi katika mjadala ufuatao kupitia globu hiyo hapo chini:

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 05, 2008

    Anonymous, usilete uhuni. Joni Mashaka siyo mtanzania. Yule amesomea nchi za nje kwa hiyo asijiite matanzania. huyu ni kama Obama anayetayanirishwa uongozi na serikali ya marekani

    Ndio amefanikiwa sana, anafanya kazi wall-street nk. hii siyo swala la kujadili kwa maana huyu kijana kasoma Marekani maisha yake yote na sasa hivi amejizolea umaarufu tanzania kutokana na kushiriki kwake katika kutafuta ufumbuzi wa matatizo ya kijamii

    Ni mtanzania mwenzetu, anayeipenda nchi yake, ana elimu, ni mzawa lakini kujiamini kwake kumetokana na nini?

    Jibu, lugha ya kizungu kwake siyo shida, na pia amesoma marekani. vinginevyo hasingekuwa na uwezo wa kusimama na kuwautubia matajiri wa Wall-street.

    Kwa maana hiyo hauwezi kumlinganisha na vijana wetu wengi waliopogika jua hadi miaka 24 wanapomaliza chuo

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 06, 2008

    Nimesoma blog yako na nimefurahi na jinsi watu wanavyochangia mawazo yao. Changamoto kwako ni kuwafikia watu wengi kuweza kujua blog yako na kuchangia kwenyw maada utakazo weka. Anyway komalia kwenye upeo ulioanzia wa maada.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...