
Tembelea http://www.nbc.com/Miss_Universe_2008 ili kumpigia kura Amanda (Miss Tanzania kama aju,ikanavyo huko Vietnam aliko kwenye mtanange wa miss universe) kushindania ubora wa vazi la taifa.
zoezi la kupiga kura linaanza siku ya sabasaba yaani julai 7, 2008


Kaka Michuzi, blogu yako siku hizi inaboa sana. Vipi wale vijana waliokuwa wanavuta wageni wameenda wapi? Wakina Jonie Mashaka wameleta nsukumo mkubwa na changamoto kubwa sana.Tumechoka na mambo ya mamiss, bwana lete mpya
ReplyDeleteMdau-Spain
ukifika wakati wa kura za mamiss mnawatafuta wabeba mabox,baadae mnawakandia poa yote maisha tu.
ReplyDeleteNi kweli kaka Mithupu. Tumeshiba habari za ma-miss, wakina Zitto kabwe, Jon Mashaka, ndio watu wanaotuwasha moto. Ni vijana machachari ambao wanawakilisha nchi yetu libeneke, hebu warudishe kwenye laini
ReplyDeleteMchangiaji
Dar (Bongo)
WE WANT CHIBIRITI!
ReplyDeletesiriasli, chibiri wea a yu, men? lait dhis ples ap, pliz
kikweli kaka mithupu walete Mashaka John wa USA na wakina Chibiriti wa Italy. Hawa wadogo zetu waliwavutia watu sana siku za nyuma
ReplyDeleteBlogu ya jamii inaboa sana, hawa watu ndio wale waliokufikisha watu millioni nne, wanaihamasisha jamii hasa sisi wabeba boxi mnaotuponda sana
mdau
Houston TX
Ndio, ni kweli sasa hivi wanatutafuta sisi wabeba boxi tuwapigie kura.
ReplyDeleteWawakilisha wetu wanapotekea wanawaponda, binadamu hana shukrani, Karibuni sana wachangiaji wapasheni ukweli. na uchovu wangu wote nilikuwa nangangaa macho kusoma story za kunipa moyo za hao wadau mliowataja, sina cha kujifunza toka kwa miss ila nilipewa changamoto na huyo mashaka wenu nikajiwekea mikakati ya kwenda kutafuta kazi wall-street na mimi mwenyewe au vipi, kila kitu kinawezekana
ni kweli anayoyyasema anon wa 2..sipigi wala nini,am dissapointed
ReplyDeleteHehehehehehe. Jamani huyu demu mbona hilo weave limezidi? Nimesoma maswali yake pitia NBC na yasemekana yeye ni masai, sasa kiancho nishangaza kwa nini aende kuweka that 99cent weave humo kichwani kukaa kama marekani wakati utamaduni wa kitanzania ni natural hair? Kwa nini asingesuka rasta ndogo ndogo za kumpendeza na kumfanya awe the most stand out person? Lakini hili weave kama Amy Winehouse halimpendezi sana, fake as her hair. Jamani sema haki sijapenda hizo nywele. I want Flavian back.
ReplyDeleteAnnon wa pili kula tano,safari hii wala vumbi mumpigie kura huyo sijui Sululu aka Jembe,tuone uwezo wenu na hizo internet cafe zenu.
ReplyDelete