profesa samahani kejeri (kati) akiwa na wadau wa discover tanzania heritage (www.dthtours.com) usiku huu kwenye tamasha la ziff. kasema leo ana umri wa miaka 67 na miezi 7 na siku kama 14 hivi. baada ya kustaafu kuongoza watalii kule kwenye makumbusho ya bagamoyo pamoja na magofu ya kaole, profesa kejeli sasa anaendeleza libeneke na kampuni hiyo marufu ya utalii.
wadau wa sauti za busara wakiwakilisha kwenye banda lao katika tamasha la ziff hapa zenj

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 14, 2008

    Hivi Profesa Kejeri ana mkono moja tu?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 14, 2008

    hapana bwana huo mkono kakatwa lini mimi namjua huyo nilikuwa namuona kaole bagamoyo.duuuuuuuuu long time.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 15, 2008

    Kweli, huyo Profesa Kejeli ni wa Long. mwaka 1982 0fisi yetu ilienda kutembelea Bagamoyo na yeye ndiye aliyekuwa muongoza watalii/wananchi waliofika pale kuangalia magofu ya kale. big up!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...