profesa samahani kejeri (kati) akiwa na wadau wa discover tanzania heritage (www.dthtours.com) usiku huu kwenye tamasha la ziff. kasema leo ana umri wa miaka 67 na miezi 7 na siku kama 14 hivi. baada ya kustaafu kuongoza watalii kule kwenye makumbusho ya bagamoyo pamoja na magofu ya kaole, profesa kejeli sasa anaendeleza libeneke na kampuni hiyo marufu ya utalii.
wadau wa sauti za busara wakiwakilisha kwenye banda lao katika tamasha la ziff hapa zenj

Hivi Profesa Kejeri ana mkono moja tu?
ReplyDeletehapana bwana huo mkono kakatwa lini mimi namjua huyo nilikuwa namuona kaole bagamoyo.duuuuuuuuu long time.
ReplyDeleteKweli, huyo Profesa Kejeli ni wa Long. mwaka 1982 0fisi yetu ilienda kutembelea Bagamoyo na yeye ndiye aliyekuwa muongoza watalii/wananchi waliofika pale kuangalia magofu ya kale. big up!
ReplyDelete