wanamuziki kida waziri (shoto) na nana njige wakiwa na vijana jazz band ni kinamama wachache waliotamba kwenye muziki wa dansi. siku hizi kinamama kama hawa ni adimu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 04, 2008

    Ah michuzi, kwani huwaoni kina luiza mbutu, jessica, na wengineo? au labda wenyewe sio wakina mama!!!??

    ReplyDelete
  2. jamani kida namumbuka enzi hizo akiwa na Tanzanite wakipiga Kilimanjaro Hotel, Simba Grill

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 04, 2008

    Samahani Michuzi, huyo ni Nana au Rahma Shali?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 05, 2008

    Dah umenikumbusha mabli sabna Bro Michu! Namkumbuka Nana Njige kabla hajaamia Vijana alitamba sana na Super rain Bow ya Mwanayamala kabla yeye na akina Eddy Sheggy kuhamia Vijana Jazz. Alikuwa na sauti tamu sana mwana mama huyu!
    Kida nae alitamba sana na wakina Hemedy Maneti na kibao kama ""Wifi zangu mna mambo"" ah zamani ilikuwa raha sana!! Nakumbuka enzi za kuruka ukuta pale vijana ukikamatwa unaosha vyoo! hahahahha

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 05, 2008

    Michuzi nataka kujua pia Betty Enock Titi Shangarai wako wapi?

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 05, 2008

    "Penzi haligawanyiki"

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...