katibu mkuu wa zamani wa simba kassim dewji akiwa neshno kushuhudia mtanange wa kombe la kagame cup. hii ilikuwa jana yanga ilipocheza na miembeni na kushinda bao 1-0 la tuta. kuna hati hati yanga na simba wakakipiga katika awamu moja ya michuano hii ambayo castle lager imemwaga milioni 80 kuidhamini
sehemu ya watazamanji wakiwa neshno mpya.


leo kulikuwa na michezo miwili, wa kwanza ulikuwa kati ya tusker ya kenya na benadir ya somalia ambapo watani wa jadi wameshinda 5-o.
mchezo wa pili wa kuingia robo fainali ulikuwa kati ya simba na vital'o ambapo wanamsimbazi wameipiga timu hiyo ya burundi bao 1-0.
kwa hiyo robo fainali ya kwanza simba inakipiga na mabingwa apr ya ruanda wakati yanga itakipiga na vital'o


mechi ya pili inaendelea hivi sasa kati ya simba na vital'o

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 20, 2008

    habari haijakaa vizuri na haieleweke

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 23, 2008

    NAOMBA KUULIZA. JAMAA HAPO JUU MWENYE TSHIRT YA PINK JE NI SAMWEL MABIBA? MWANA WA NGWASUMA NA MMILIKI WA VISIMA VYA MAFUTA? JAMANI NAOMBA NAMBA YAKE YA SIMU NINGEFURAHI KUONGEA NAE NA KUKUTANA NAE ANA KWA ANA. MICHUZI SAIDIA.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 24, 2008

    Mdau mtoa maoni juu unayemuulizia huyo njemba kweli ni sam mabiba, na natumaini hakuna atakayejitokeza kukupa namba yake kwamaana ameshachumbia na ana bonge la totoz la kipare mzuriiiii huyooooo. na amezaa naye watoto wawili. Pole sana dada. wewe nenda tu kamvizie ngwasuma ukibahatika ujichane bia za bure basi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...