Home
Unlabelled
miss tmk 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyo aliyeshinda ni Mtoto wa wa Askofu wa walokole anayeitwa Askofu Luballa.
ReplyDeleteAskofu huyo alikuwa na huyo mwanae kwenye mashindano yalipoanza hatua za mwanzo na alimpomgeza sana kwa ushindi wake wa mwanzo pale Chang`ombe.
Walokole siku hizi nao wanapenda mashindano ya kidunia!!!!
huyu nimemkubali...shes beautiful
ReplyDeletejamani bongo kuna warembooo tena wabichiii,ngoja nirudi kabla hawajaisha,hehehe
ReplyDeleteQuen David ni binti mzuri sana na kwa mwaka jana angeshinda miis tz nisingejilaum but juzijuzi nimekutana nae znz...ana kibwana cha kizungu kichafuuu full malavidavi, mamiss mnatia aibu...harafu mchizi alikuwa anajipa maujiko kwamba ana dem miss tz..looo kinyaa
ReplyDeleteMdau Mji Mkongwe
Here we go again with more beauty contests !!! May be we should export our beautiful people DNA's to other countries and improve our economy !!
ReplyDeleteHey Mugabe would you like some Bongo DNA to improve your looks !!!!
Hivi jamani siku hizi tanzania na watanzania hawana la kufanya ila kufanya mashindano ya warembo kila siku? Nadhani mwisho kutakuwa na mashindano ya miss mtoto wa waziri!
ReplyDeleteMtumeeee hawa warembo wa Temeke.!! Temeke kweli au wametoka Kinondoni kwenda kushindana Temeke??
ReplyDeleteNimekubali Bongo tambarare.
Richard nenda mazoezini, naona kitambi kinakukaribia, Umemuoa Mzungu lakini umenioa kindoto. tutapeana talaka ukiwa na kitambi.
ReplyDeleteJoyce
heheeee TID ukae mkao wa kula
ReplyDeleteWADAU NINA SWALI,KWANINI HAWA MAMISS WETU AS SOON AS THEY GET THOSE TITLES WANABADILIKA TABIA KAMA KINYONGA?MFANO MZURI NI WEMA SEPETU
ReplyDeleteWOW ANGELLA!!! I CAN'T BELIEVE ITS YOU! YOU JUST LEFT AMERICA THE OTHER DAY AND YOU DIDN'T WANT TO WASTE TIME. CONGRATULATIONS GIRL! I WILL TELL SOME OF YOUR FRIENDS OVER HERE TO CHECK YOU OUT ON THIS BLOG.
ReplyDeleteSwafii sana TMK kwa wanaume na wanawake pia wapo kumbeee... halafu huyo max na mwanae bushoke waangalie maana bongo hawachelewi waiona mafanikio tu Jela km Papii kocha na Babaake Nguza Vicking mie na worry
ReplyDeleteSwafii sana TMK kwa wanaume na wanawake pia wapo kumbeee... halafu huyo max na mwanae bushoke waangalie maana bongo hawachelewi waiona mafanikio tu Jela km Papii kocha na Babaake Nguza Vicking mie na worry
ReplyDelete