miss temeke 2008 angella luballa akivishwa taji na miss temeke 2007 queen david wikiendi hii viwanja vya tcc chang'ombe
miss tmk 2008 angella luballa akiwa na (kati) akiwa na mshindi wa pili rona swai na wa tatu florence josephat
miss tmk 2008 akivishwa bibu na miss tmk 2007

miss temeke 2008 angella luballa akiwa katika vazi la ufukweni

tano bora miss tmk 2008
warembo wa miss tmk 2008 katika vazi la ufukweni



mkurugenzi mtendaji wa bmp promotions ambao ndio waandaaji wa miss tmk benny kisaka akitaja washindi walioingia tano bora
majaji wafawidhi wa miss tmk 2008

big brother II richard akiongea huku miss tmk 2007 queen david akisubiri kukabidhi taji kwa mshindi
maxmillan bushoke na mwanae rutta bushoke wakitumbuiza usiku wa miss tmk 2008






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 09, 2008

    Huyo aliyeshinda ni Mtoto wa wa Askofu wa walokole anayeitwa Askofu Luballa.

    Askofu huyo alikuwa na huyo mwanae kwenye mashindano yalipoanza hatua za mwanzo na alimpomgeza sana kwa ushindi wake wa mwanzo pale Chang`ombe.

    Walokole siku hizi nao wanapenda mashindano ya kidunia!!!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 09, 2008

    huyu nimemkubali...shes beautiful

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 09, 2008

    jamani bongo kuna warembooo tena wabichiii,ngoja nirudi kabla hawajaisha,hehehe

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 09, 2008

    Quen David ni binti mzuri sana na kwa mwaka jana angeshinda miis tz nisingejilaum but juzijuzi nimekutana nae znz...ana kibwana cha kizungu kichafuuu full malavidavi, mamiss mnatia aibu...harafu mchizi alikuwa anajipa maujiko kwamba ana dem miss tz..looo kinyaa

    Mdau Mji Mkongwe

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 09, 2008

    Here we go again with more beauty contests !!! May be we should export our beautiful people DNA's to other countries and improve our economy !!
    Hey Mugabe would you like some Bongo DNA to improve your looks !!!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 09, 2008

    Hivi jamani siku hizi tanzania na watanzania hawana la kufanya ila kufanya mashindano ya warembo kila siku? Nadhani mwisho kutakuwa na mashindano ya miss mtoto wa waziri!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 09, 2008

    Mtumeeee hawa warembo wa Temeke.!! Temeke kweli au wametoka Kinondoni kwenda kushindana Temeke??

    Nimekubali Bongo tambarare.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 09, 2008

    Richard nenda mazoezini, naona kitambi kinakukaribia, Umemuoa Mzungu lakini umenioa kindoto. tutapeana talaka ukiwa na kitambi.
    Joyce

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 09, 2008

    heheeee TID ukae mkao wa kula

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 09, 2008

    WADAU NINA SWALI,KWANINI HAWA MAMISS WETU AS SOON AS THEY GET THOSE TITLES WANABADILIKA TABIA KAMA KINYONGA?MFANO MZURI NI WEMA SEPETU

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 10, 2008

    WOW ANGELLA!!! I CAN'T BELIEVE ITS YOU! YOU JUST LEFT AMERICA THE OTHER DAY AND YOU DIDN'T WANT TO WASTE TIME. CONGRATULATIONS GIRL! I WILL TELL SOME OF YOUR FRIENDS OVER HERE TO CHECK YOU OUT ON THIS BLOG.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 13, 2008

    Swafii sana TMK kwa wanaume na wanawake pia wapo kumbeee... halafu huyo max na mwanae bushoke waangalie maana bongo hawachelewi waiona mafanikio tu Jela km Papii kocha na Babaake Nguza Vicking mie na worry

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 13, 2008

    Swafii sana TMK kwa wanaume na wanawake pia wapo kumbeee... halafu huyo max na mwanae bushoke waangalie maana bongo hawachelewi waiona mafanikio tu Jela km Papii kocha na Babaake Nguza Vicking mie na worry

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...