huyu bibie ni mwanadada ambaye ana sifa za kuweza kupiga ala zote za muziki, akiwa ni tunda la dhow countries music academy (dcma) ya hapa zenji. hapa anashiriki katika onesho la ziff usiku kuamkia leo ambao dcma ilifanya bonge la kolabo na chuo cha sanaa bagamoyo


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...