mzee wa busara dj yusuf akiwa na bosi wa mauzo na masoko wa vodacom ephraim mafuru usiku huu kwenye siku ya tatu ya tamasha la ziff (zanzibar international film festival) linalofanyika ngome kongwe hapa zenj
nikiwa na wadau wa east africa tv na wa ziff usiku huu ngome kongwe
afisa mwendeshasji mkuu wa ziff dk. martin mhando yuko bize kupokea wageni na kupanga mikakati kufanikisha tamasha la mwaka huu. juu akiwa na familia ya mdau ryhmson wa wapi pamoja na wadau wa ziff. chini nikiwa naye dk. mhando na selebriti wa sophia records, mdau claude ambaye siku hizi pamoja na kucheza filamu pia anapiga picha na kuprodyuzi


mzee mwenyewe, naona sasa wakati wa kukuchangia ununue t-shirt umefika, hii ni too much sasa. kauka nikuvae nini?
ReplyDeleteda jamani huyu dada wa EATV nampendaga hasa akifanya mahojiano yaani kama wale brick & Lace walivyokuja alifanya bonge la interview big up Linda. kama sikosei ndio jina lake, nakufagilia kinoma.
ReplyDeletemisupu usibane manake na wewe kwa wivu
hee kaka michuzi hiki kafula chako kimeshajijuja wenyewe kimekwabuka nunua nyengine kama hio narangi hiohio.
ReplyDeletehuyo mwenye T-shirt nyeusi ni Jibai?
ReplyDeleteBig up! Martin, great job! all the best
ReplyDelete