Tembelea http://www.nbc.com/Miss_Universe_2008 ili kumpigia kura Amanda (Miss Tanzania kama aju,ikanavyo huko Vietnam aliko kwenye mtanange wa miss universe) kushindania ubora wa vazi la taifa.
zoezi la kupiga kura linaanza siku ya sabasaba yaani julai 7, 2008
shime wadau, tumsaidie binti yetu huyu kama tulivyomsaidia flaviana matata hadi akashinda



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 04, 2008

    Kaka Michuzi, blogu yako siku hizi inaboa sana. Vipi wale vijana waliokuwa wanavuta wageni wameenda wapi? Wakina Jonie Mashaka wameleta nsukumo mkubwa na changamoto kubwa sana.Tumechoka na mambo ya mamiss, bwana lete mpya
    Mdau-Spain

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 05, 2008

    ukifika wakati wa kura za mamiss mnawatafuta wabeba mabox,baadae mnawakandia poa yote maisha tu.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 05, 2008

    Ni kweli kaka Mithupu. Tumeshiba habari za ma-miss, wakina Zitto kabwe, Jon Mashaka, ndio watu wanaotuwasha moto. Ni vijana machachari ambao wanawakilisha nchi yetu libeneke, hebu warudishe kwenye laini
    Mchangiaji
    Dar (Bongo)

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 05, 2008

    WE WANT CHIBIRITI!

    siriasli, chibiri wea a yu, men? lait dhis ples ap, pliz

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 05, 2008

    kikweli kaka mithupu walete Mashaka John wa USA na wakina Chibiriti wa Italy. Hawa wadogo zetu waliwavutia watu sana siku za nyuma

    Blogu ya jamii inaboa sana, hawa watu ndio wale waliokufikisha watu millioni nne, wanaihamasisha jamii hasa sisi wabeba boxi mnaotuponda sana

    mdau
    Houston TX

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 05, 2008

    Ndio, ni kweli sasa hivi wanatutafuta sisi wabeba boxi tuwapigie kura.

    Wawakilisha wetu wanapotekea wanawaponda, binadamu hana shukrani, Karibuni sana wachangiaji wapasheni ukweli. na uchovu wangu wote nilikuwa nangangaa macho kusoma story za kunipa moyo za hao wadau mliowataja, sina cha kujifunza toka kwa miss ila nilipewa changamoto na huyo mashaka wenu nikajiwekea mikakati ya kwenda kutafuta kazi wall-street na mimi mwenyewe au vipi, kila kitu kinawezekana

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 05, 2008

    ni kweli anayoyyasema anon wa 2..sipigi wala nini,am dissapointed

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 05, 2008

    Hehehehehehe. Jamani huyu demu mbona hilo weave limezidi? Nimesoma maswali yake pitia NBC na yasemekana yeye ni masai, sasa kiancho nishangaza kwa nini aende kuweka that 99cent weave humo kichwani kukaa kama marekani wakati utamaduni wa kitanzania ni natural hair? Kwa nini asingesuka rasta ndogo ndogo za kumpendeza na kumfanya awe the most stand out person? Lakini hili weave kama Amy Winehouse halimpendezi sana, fake as her hair. Jamani sema haki sijapenda hizo nywele. I want Flavian back.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 06, 2008

    Annon wa pili kula tano,safari hii wala vumbi mumpigie kura huyo sijui Sululu aka Jembe,tuone uwezo wenu na hizo internet cafe zenu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...