kocha msaidizi wa timu ya taifa ya vijana sylvestre mash (kati) akiwa na baadhi ya wachezaji wanaounda timu ya kombaini ya copa coca cola wakiwa njiani kuelekea brazil kupitia dubai kwa mazoezi. asante mdau abdulrahmana mbamba kwa picha hizi walipokuwa ndani ya pipa
vijana wa timu ya umri chini ya miaka 17 waliochaguliwa kuunda kombaini na kwenda brazil kwa mazoezi baada ya mashindano ya copa coca cola 2008 chini ya udhamini wa coca cola


Huyo wa dirishani anasema, Mungu si Athuman nimepanda pipa na nakimbia ufisadi na umasikini wa nchi kwa kipindi kifupi.
ReplyDeleteanon 12:05 umeniacha hoi, lakini namie nahisi hivyohivyo huyu wa dirishani katulia anaona yes nimeukata......Bongo kwetu na tunakupenda, ila jamani tofauti ya walionacho na wasionacho KUBWA MNO, yaani kuna watu kibao yaani ni CHOKA MBAYA, maisha noma, duu hata wakijilipua haki yao tu.
ReplyDeletena nyie mbebe drugs kama wale wenzenu mabondia muone brazil watakavyo wagombania nyambaffu nyie
ReplyDeleteNa Masanja mkandamizaji nae yumo au macho yangu tu....????!!!
ReplyDeleteAngalieni msisafirishe madawa ya kulevya mtaozea jela. Kila la kheri
ReplyDeleteDuh, kaka Michu, mbona watuweea picha za watoto walio very nervous? Duh, sjui ncheke ama nfanyeje..
ReplyDeletehivi ndivyo wenzetu walivyoanza kujenga soka lao...simba na yanga walitakiwa wawe wameshazifanya safari kama hizi muda mreeefu sana uliopita na sio kuendekeza majungu na uchawi
ReplyDeletehatimaye tumeanza kucheza soka la kisasa...akina rubeya, madega na viongozi wengine wa vilabu vya kibongo wanatakiwa waige mfano huu.
Kuna wawili hapo naona ni 17 again....hahahahah
ReplyDelete