juu ni katika benchi la vital'o ya burundi baada ya kupigwa 1-0 na simba jana. chini ni timu zote mbili kabla ya mpambano wao kuwania tiketi ya kuingia robo fainali


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 21, 2008

    mbona uwanja unaonekana mtupu!!!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 22, 2008

    We mtoa maoni hapo juu ni Zito Kiaratu wa kweli? ( Beki machachari wa Yanga enzi hizo ) kama ndo hivyo jitahidi siku moja tukuone kwenye Luninga utukumbushe mengi kama wanavyofanya wenzio . Kuhusu uwanja kuwa mweupe tatizo ni tamaa za TFF kuweka viingilio vikubwa,wangefanya kiingilio 5000 na 3000 nadhani ungejaa .Lakimni vilevile unafahamu kwamba wapenzi wa simba si wengi kama wa Yanga ( Fuatilia takwimu za mapato ya kagame Cup )

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...