wakati michuano ya kombe la kagame cup likiendelea neshno mitaani ni promo za kesto kwa kwenda mbele ambapo wadau hujishindia zawadi mbalimbali kwa kujibu maswali ama kucheza michezo
zawadi kedekede zinatolewa mitaani na walaji wa kesto baada ya kushinda michezo kama hii
mpenzi mkubwa wa simba mzee magomamoto naye yumo kwenye promo ambapo akianza kukatika sebene hapo ni mpaka asubuhi

Kweli nimempenda Daktari mkuu wa hiyo hospitali hapo juu....hakutaka kumficha JK ukweli kuhusu hali za mahospitali yetu...angalia michirizi sijui ya maji au uji au Damu ukutani...na mavumbi hayakufutwa dirishani...nilidhani wangepaka angalau rangi kuficha kidogo uchafu katika hospitali hiyo lakini wameamua kumpa J.K vidonge vyake....Lol....!! Haya bwana jitahidi JK kusafisha jina..!!
ReplyDelete