zifuatazo ni picha za wahapahapa, bendi inayopiga muziki wa kisasa wenye vionjo vya kiafrika. sasa hivi wameondika na ethiopian airways kuelekea nchini india kwa ziara ya wiki moja ambapo watahudhuria tamasha kubwa la kimataifa

juu zungu chini zungu, ngoma hadi liamba


mkongwe teddy mubaraka naye yumo
paul ndunguru ambaye ni kongozi, mpiga giza la mbele na mwimbaji mkuu akiwa kazini na mpiga solo wake



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 09, 2008

    Paul kweli utu uzima si mchezo, umeamua kunyoa rasta??!! vp kina eliudi wapo? mie mchizi wa thom np sydney

    ReplyDelete
  2. Poa sana,watakuwa mji gani?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...