ceo wa lebo ya 'wakawaka' mathew j. omari (pili shoto) akiwa na msaidizi wake kwenye banda lao leo. anapatikana kupitia namba +255 784 240028 kwa yeyote anayetaka kuwakawaka
lebo inayokuja juu kama moshi wa kifuu ya 'wakawaka[ pia ipo katika maonesho ya sabasaba na kama mafanikio iliyoonesha kwa kupokelewa vyema na wadau kiasi hata kufanya banda lao liwe na foleni ya wananunuzi kutwa nzima, basi wakawaka itakuwa moto wa kuotea mbali karibuni tu

Big ups Mzee wa wakawaka. Hawa ndio wajasiriamali watakaoiinua nchi yetu.
ReplyDeleteNimeipenda sana kazi yake. Muambie aanzishe tovuti basi tuweze kununua wadau wa ughaibuni.
Fahari