
Karibuni kwa mara nyingine tena, husika na WAPI
...tukio la kila mwezi.
Kama kawaida"WAPI" inaendelea. safari hii tunaliangalia suala linalogusa kila mtu hapa nchini.. lugha inayofaa kutumika kufundishia..kwenye mada yetu Kiswahili au Kimombo...
kwenye KIJIWE MAARIFA tutakuwa na Fredi Hala mchoraji mahiri. Zavara kwenye taaluma ya "KUEMSII"
WAPI pia yawaletea Ozey, Twetu lobo, Jhikoman na Afrikabisa, Enika, Ngalawa na wengineo.
Mitindo na Kemi Kalikawe,Wasanii wa sauti ya handaki(undeground), Katika harakati. Madijei, ma emsii, machata, mabreka, michoro mbali mbali, ushairi, ngoma, maigizo na usanifu mitindo.
Mahali: British Council,
Dar Es Salaam
(maelekezo: Samora na Ohio, mkabala na Steers kati kati ya jiji)
Siku: Jumamosi, 26-07-2008
Siku: Jumamosi, 26-07-2008
mida: saa 9 -alasiri-hadi 2 usiku
Mada ya mwezi:KISWAHILI AU KIMOMBO??


KIMOMBO kiswahili,kimewapleka wapi nyie?acheni ushamba bwana
ReplyDeletekimombo! Tunapata tabu sana huku ughaibuni na lugha ukizingatia huku bila presentation mambo ujamaliza. Basi inakua heka heka unaposimama mbele ya drs kujieleza. Okoeni kizazi kipya jamani!
ReplyDelete