Karibuni kwa mara nyingine tena, husika na WAPI

...tukio la kila mwezi.


Kama kawaida"WAPI" inaendelea. safari hii tunaliangalia suala linalogusa kila mtu hapa nchini.. lugha inayofaa kutumika kufundishia..kwenye mada yetu Kiswahili au Kimombo...


kwenye KIJIWE MAARIFA tutakuwa na Fredi Hala mchoraji mahiri. Zavara kwenye taaluma ya "KUEMSII"


WAPI pia yawaletea Ozey, Twetu lobo, Jhikoman na Afrikabisa, Enika, Ngalawa na wengineo.


Mitindo na Kemi Kalikawe,Wasanii wa sauti ya handaki(undeground), Katika harakati. Madijei, ma emsii, machata, mabreka, michoro mbali mbali, ushairi, ngoma, maigizo na usanifu mitindo.


Mahali: British Council,

Dar Es Salaam

(maelekezo: Samora na Ohio, mkabala na Steers kati kati ya jiji)
Siku: Jumamosi, 26-07-2008

mida: saa 9 -alasiri-hadi 2 usiku


Mada ya mwezi:KISWAHILI AU KIMOMBO??

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 19, 2008

    KIMOMBO kiswahili,kimewapleka wapi nyie?acheni ushamba bwana

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 21, 2008

    kimombo! Tunapata tabu sana huku ughaibuni na lugha ukizingatia huku bila presentation mambo ujamaliza. Basi inakua heka heka unaposimama mbele ya drs kujieleza. Okoeni kizazi kipya jamani!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...