abou na ndugu zake jamal (nyeupe kama billy ocean) na jumaa (kwa nyuma, mikono juu) wakati wa resepsheni ya harusi hiyo ilofanyika wikiendi hii hoteli ya kilimanjaro kempinski. pilau lililiwa ijumaa ilopita, shaba kama nane hivi zilipotea...
king aboubakar na queen nusrat wakicheza muziki wa kwanza

king aboubabakar na queen nusrat katika viti vyao vya enzi
king aboubakar na mai waifu wake na ndugu jumaa na mai waifu wake
sabbah muchacho awaalika maharusi jukwaani wawapashe mashankumpe na vishadidi..
mapaparazi kama kawa...
njenje wakimpongeza abou ambaye ni mmoja wa waanzilishi wa njenje family


haloo halooo!

mgeti krasha walikuwepo pia
msosi wa nguvu
wafanyakazi wa coast bureau de change za mlimani city na mayfair plaza wakimpongeza bosi wao aboubakar na mai waifu wake
aboubakar na nusrat wakiduarika na wageni waalikwa, ndugu, jamaa na marafiki
kila mtu alikuwa anatuza maharusi





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. kwani walikuwa wapi siku zote? au hela za pensheni ndio wanamalizia kempiski? jamani, wengine tukubali tu kwamba saa 12 jioni imefika.

    ReplyDelete
  2. Mke wa Ngapi? he's so old man.wadau umri wa kuoa kwa mwanaumke ni miaka mingapi?

    ReplyDelete
  3. Duh ama huyu kweli " ALIKUEPO KUEPO KWANZA" yaani ndo anaoa akiwa na umbri wa mika 50! Mtihani huu!Alikuwa wapi miaka yote mpaka anakumbuka shuka kume kucha?!!!

    ReplyDelete
  4. Hiyo ni ndoa ya ngapi kwa Abuu? maana naona umri umeenda!!
    Nawatakia maisha marefu kwenye ukurasa mpya.....

    ReplyDelete
  5. Inapendeza kama sio mke mdogo. Ndoa ya mke mmoja ni kitu kizuri

    ReplyDelete
  6. hello maarusi walipendeza sana hongereni, nawaona washirika wangu uncle masoud, Baiya na Afsa Mbaraka mlipendeza saaaaaaaaaaaana kama kawaida kupendeza kwa kwenda mbele vipi Bijoha mbona sijamuona kulikoni najua alikuwapo au alikuwa hanaogopa camera ah! ah! jokes love you all!! be blessed

    ReplyDelete
  7. Kaka Hongera sana, hakika mlipendeza, nasononeka tu kwa kushindwa kushuhudia the largest ever show ya mashangingi. Maana unajua wengine ugonjwa wetu ni hayo madude, na najua ilikuwa fashion show ya nguvu.
    Aibu kwa wale masingle ambao walirudi majumbani kinyonge, this seems to be the wedding of the year so far. Mungu awajaaalie.

    Mzee wa MICHUGUBWACHO
    La-spezia, Italy

    ReplyDelete
  8. Jamani waswahili kwa majungu!!kwani ndoa ina umri??acheni maneno nyie....tena inawezekana hata nyie msioe kabisa....wangapi wanaowa wakiwa na miaka 60?
    mie sioni ajabu ya wanandoa hao..HONGERENI SANA WANANDOA NA MUNGU AWABARIKI SANA

    ReplyDelete
  9. kwa taarifa yenu, ndoa imejibu. hongera bwana harusi kwa kujitunza. hivi nusrat alikupataje?

    ReplyDelete
  10. Hivi hao ni King & Queen of what? Nimependa arusi yao maana ni watu wazima.

    ReplyDelete
  11. Huo ndio umri wa kuoa na kuolewa. Sio kukimbilia kuoa hata kazi mtu han. Hajui atalisha nini watoto.

    Mimi nimependa sana harusi yao sijui ni king wa wapi huyu but they look good

    Na shaba nane ndio nini. Umeniacha njiani kwa hilo leo.

    ReplyDelete
  12. Hapa michuzi pamoja na kuwa geti clasha bado naona jamaa amekukatia kidogodogo haiwezekani mapicha ukaweka mengi hivi wakati nyingine huwa unapewa kadi ya bure na bado unaweka 2-4. Nitafuatilia kwani muolewaji ni jirani yangu pale manzese.
    Natombe
    Moshi

    ReplyDelete
  13. JJ Communication wa Moshi yu wapi? Naona ndugu zake tu hapo. Mshkaji bado unajificha toka tu shimoni wangu unakosa uhuru

    ReplyDelete
  14. Da Muna weeeeh ulipendeza dada angu mashallah. Hongera weye na mumeo mola awalindie ndoa yenu maishani ameen.

    ReplyDelete
  15. Mmm kaka mara hii umepata mke, yuko wapi yule mkorogo. Acheni wifu watanzania,

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...