.jpg)
.jpg)
.jpg)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kwani walikuwa wapi siku zote? au hela za pensheni ndio wanamalizia kempiski? jamani, wengine tukubali tu kwamba saa 12 jioni imefika.
ReplyDeleteMke wa Ngapi? he's so old man.wadau umri wa kuoa kwa mwanaumke ni miaka mingapi?
ReplyDeleteDuh ama huyu kweli " ALIKUEPO KUEPO KWANZA" yaani ndo anaoa akiwa na umbri wa mika 50! Mtihani huu!Alikuwa wapi miaka yote mpaka anakumbuka shuka kume kucha?!!!
ReplyDeleteHiyo ni ndoa ya ngapi kwa Abuu? maana naona umri umeenda!!
ReplyDeleteNawatakia maisha marefu kwenye ukurasa mpya.....
Inapendeza kama sio mke mdogo. Ndoa ya mke mmoja ni kitu kizuri
ReplyDeletehello maarusi walipendeza sana hongereni, nawaona washirika wangu uncle masoud, Baiya na Afsa Mbaraka mlipendeza saaaaaaaaaaaana kama kawaida kupendeza kwa kwenda mbele vipi Bijoha mbona sijamuona kulikoni najua alikuwapo au alikuwa hanaogopa camera ah! ah! jokes love you all!! be blessed
ReplyDeleteKaka Hongera sana, hakika mlipendeza, nasononeka tu kwa kushindwa kushuhudia the largest ever show ya mashangingi. Maana unajua wengine ugonjwa wetu ni hayo madude, na najua ilikuwa fashion show ya nguvu.
ReplyDeleteAibu kwa wale masingle ambao walirudi majumbani kinyonge, this seems to be the wedding of the year so far. Mungu awajaaalie.
Mzee wa MICHUGUBWACHO
La-spezia, Italy
Jamani waswahili kwa majungu!!kwani ndoa ina umri??acheni maneno nyie....tena inawezekana hata nyie msioe kabisa....wangapi wanaowa wakiwa na miaka 60?
ReplyDeletemie sioni ajabu ya wanandoa hao..HONGERENI SANA WANANDOA NA MUNGU AWABARIKI SANA
kwa taarifa yenu, ndoa imejibu. hongera bwana harusi kwa kujitunza. hivi nusrat alikupataje?
ReplyDeleteHivi hao ni King & Queen of what? Nimependa arusi yao maana ni watu wazima.
ReplyDeleteHuo ndio umri wa kuoa na kuolewa. Sio kukimbilia kuoa hata kazi mtu han. Hajui atalisha nini watoto.
ReplyDeleteMimi nimependa sana harusi yao sijui ni king wa wapi huyu but they look good
Na shaba nane ndio nini. Umeniacha njiani kwa hilo leo.
Hapa michuzi pamoja na kuwa geti clasha bado naona jamaa amekukatia kidogodogo haiwezekani mapicha ukaweka mengi hivi wakati nyingine huwa unapewa kadi ya bure na bado unaweka 2-4. Nitafuatilia kwani muolewaji ni jirani yangu pale manzese.
ReplyDeleteNatombe
Moshi
JJ Communication wa Moshi yu wapi? Naona ndugu zake tu hapo. Mshkaji bado unajificha toka tu shimoni wangu unakosa uhuru
ReplyDeleteDa Muna weeeeh ulipendeza dada angu mashallah. Hongera weye na mumeo mola awalindie ndoa yenu maishani ameen.
ReplyDeleteMmm kaka mara hii umepata mke, yuko wapi yule mkorogo. Acheni wifu watanzania,
ReplyDelete