yule mwimbaji wa maarufu wa bongo flava Ali Kiba hatimae atua Marekani kwa maonyesho mbali mbali.
amekuja kumaliza kiu ya muda mrefu kwa washabiki wake Afrika mashariki na kati.Onyesho lake la kwanza litafanyika jumapili aug 31 kwenye ukumbi wa Mirage,address ni 4401 university blvd,Hyattsville,Md 20783
onyesho litaanza saa 4 usiku.
Kiba maarufu kwa nyimbo zake cinderella na makumuga ambazo kutwa haziishwi kuombwa na kurudiwa mara kadhaa,hususani wimbo wa cinderella umempatia umaarufu na sifa nyingi hapa Marekani.
Usipo wapigia Wakenya cinderella basi wewe dj hujui ku-ofcoz muziki.Ali Kiba atashirikiana na the mix master dj Luke, dj Joe Cat dady(WKYS 93.9) bila kumsahau dj young Kay blood yote ni kuwasha moto Labor day weekend Washington Dc.
Ali Kiba kwa mara ya kwanza Marekani,kwa onyesho la kwanza D.M.V., mara ya kwanza ndani ya mirage hall,4401 university blvd,Hyattsville Md 20783.na kwa mara ya kwanza kwenye BASHI LA UBWETE LA WATANZANIA LABOR DAY WEEKEND WASHINGTON DC.
watu pipo karibuni DC tucheze cInDeReLlA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. mimi nawashauri watangazieni wakenya ujio wa huyu bwa mdogo mtapata watu kibao,wabongo i doubt!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...