

sehemu ya hotuba ya JK inapatikana katika video kupitia www.dailynews-tsn.com ambayo ni tovuti pekee nchini na ist afrika mashariki yenye mtandao unaohusisha video
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kaka Michuzi,hapo juu,ulipogusia Dailynews,umetudanganya kidogo.Ukiengalia Nation Media ya Kenya pamoja na The EastAfrican Standard-pia ya Kenya,zote zina tofuti safi sana za video.
ReplyDeleteUbarikiwe,Kadebe
Michuzi video ni nzuri kidog,halafu waandishi wanaongea sanaa,hata huwezi sikia vizuri..wakati mnarekodi jaribuni kukaa kimya basi,,asanteni
ReplyDeleteTupo pamoja JK. Mungu akulinde
ReplyDeletePamoja na Hotuba nzuri naomba wangekuwa wana tu warn mapemba hawa TBC na wengine kuwa , hii live telecast ina weza kuwa na maneno ya kiutuizima ili sisi tusio kuwa comfortable tukiwa na wazee wetu tule kona mapema , wange kua wana rate na kusema hii broadcast itwa kuwa labda PG 13, 16 or NC17 or 18, ili tuwe makini wakati tume kaa fammilia ndani ya sebule kuangalia kuepuka kuwa embarassed namna ile.
ReplyDeleteKweli na complain kabisa lugha ya raisi siku ifurahia kabisa na it wasn't funny atall, nilitegemea utani uwepo lakini sio wa kuhusisha lugha inayo karibiana na matusi kwa maana nyingine , tena ikirudiwa zaidi ya mara tatu, kweli i was shocked and ambarasad na na dhani na demand apoligy toka kwa rais, huwezi sema "Ili ule shurti uliwe" na urudie mara nyingi namna ile kweli ilikwua ni aibu.
Babu (Anonymous August 22, 2008 11:58 AM) hapo juu, you need to get your mind out the gutter. Na kwa kuambia "Ili ule shurti uliwe" ni matusi. Have ever heard of the expression "dog eat dog"? It simply means ruthless competition such as what you would find in a zero sum game were a person wins at the expense of others. Mimi ningeshauri ukague ubongo wako kwa maana kuna dalili umejaa uchafu!
ReplyDeleteWatu bwana: Hawajui methali, wanakaa kumlaumu rais wetu. Hivi hujui ipo misemo na methali. Ninyi ndiyo mnaiharibu lugha halafu eti rais aombe radhi. Hawezi kufanya hivyo. Rudini kwenye Kiswahili. Msitupotezee muda. Je, angesema Kuchamba sana...Ungesemaje, si ndiyo methali zetu. Kajifunze. hata anaposema tusigombee fito wakati tunajenga nyumba moja, pengine pia humuelewi.
ReplyDeleteHebu tulia wewe nikague ubongo gani, hukuona sura zote za wabunge wanacheka na wengine kama yule Mama Kwigir ana ziba mdomo kwa kuona haya kabisa? kila mtu alitafsiri tusi ingawa ni kiswahili , kwanini uweke room ya kuongea neno linalo karibia tusi kwa sehemu ambayo ambayo kuna watu wa zima na watoto au watu mnao heshimiana, sidhani kama ana weza sema Nyani haoni Kundule mbele ya watu pale ingawa ni methali.
ReplyDeletePale alituwekea tungo tata akijua kabisa watu watafikiria ana maana ya tusi ndio maana watu walicheka sana , akarudia mara kibao na mwisho kusema sina maana ile lakini, alijua watu watakaribia kufikiri ni tusi ndio mna akaweka clear kuwa hana maana ILE.
Still niliona aibu kwasababu nilikuwa nime kaa na watu na heshimiana nao na sikuwa comfortable kabisa na kauli hiyo, hiyo ni opinion yangu !
Kesho nitakutana naye kwenye harusi ya mwanae nanita mpa live kuwa ameni sikitisha!
anonymous hapo juu, ushauri wangu ni "avoid an evil mind".
ReplyDelete