Mfalme bongo flava Ali Kiba hatimae ametua Marekani kwa maonyesho mbali mbali, akiwa akamekuja kumaliza kiu ya muda mrefu kwa washabiki wake Afrika mashariki na kati.

pichani ni Ali Kiba mara tu alipowasili Washington Dc Tayari kwa sherehe za labour day Ambazo imeanza Ijumaa tarehe 08/29/08 kwenye ukumbi wa Mirage hall,
1401 unirvesty Blvd,
Langley Park,
Md 20783.
Jumamosi 08/30/08 kwenye ukumbi wa juste lounge uliopo
4869 cordell ave,
bethesda,
md 20814,

Jumapili Grandfinale 08/31/08 itakuwa mirrage hall,
Hyattsville.
"Usisahau Mswaki"
ngoma mpaka asubuhi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. eeerrrr....i seriosly "doubt" hapo ni DC its ORLANDO sababu hizo carts za airport ndugu!! Carts zinasema Orlando...

    ReplyDelete
  2. tangu lini Orlando imekuwa DC? jamani mmeanza uongo mapema hivi

    ReplyDelete
  3. ok the cart says orlando, lakini yeye amewasili DC, makubwa! na kwa nini kashukia orlando?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...