
Mfalme bongo flava Ali Kiba hatimae ametua Marekani kwa maonyesho mbali mbali, akiwa akamekuja kumaliza kiu ya muda mrefu kwa washabiki wake Afrika mashariki na kati.
pichani ni Ali Kiba mara tu alipowasili Washington Dc Tayari kwa sherehe za labour day Ambazo imeanza Ijumaa tarehe 08/29/08 kwenye ukumbi wa Mirage hall,
1401 unirvesty Blvd,
Langley Park,
Md 20783.
Jumamosi 08/30/08 kwenye ukumbi wa juste lounge uliopo
4869 cordell ave,
bethesda,
md 20814,
Jumapili Grandfinale 08/31/08 itakuwa mirrage hall,
Hyattsville.
"Usisahau Mswaki"
"Usisahau Mswaki"
ngoma mpaka asubuhi
eeerrrr....i seriosly "doubt" hapo ni DC its ORLANDO sababu hizo carts za airport ndugu!! Carts zinasema Orlando...
ReplyDeletetangu lini Orlando imekuwa DC? jamani mmeanza uongo mapema hivi
ReplyDeleteok the cart says orlando, lakini yeye amewasili DC, makubwa! na kwa nini kashukia orlando?
ReplyDelete