Jameni wadau!
Kibira Films inawatangazia kwa mara nyingine kuwa BONGOLAND II inaonyeshwa ijuma hii mjini Chicago.
Kibira Films inawatangazia kwa mara nyingine kuwa BONGOLAND II inaonyeshwa ijuma hii mjini Chicago.
Unakumbushwa kuja kuiona sinema ambayo kwa kweli imeonyesha ukomaaji wa fani ya usanii wa sinema katika Tanzania.
BONGOLAND II itaonyeshwa saa kumi na mbili na robo Ijumaa hii tarehe 15.
Ukumbi ambapo sinema hii itaonyeshewa ni GENE SISKEL FILM CENTER.
Ukumbi ambapo sinema hii itaonyeshewa ni GENE SISKEL FILM CENTER.
Mkurugenzi J Kibira wa sinema hii atakuwapo katika ukumbi kujibu maswali mwishoni.
Anwani ya Ukumbi ni
164 North State Street
Chicago Il 60601
SIMU YAO NI - 312-846-2600
KARIBUNI!!
SIMU YAO NI - 312-846-2600
KARIBUNI!!
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...