BONGODJS ENTS
BAADA YA SHOW YA MWANADADA KAREN "KAZ" KWENDA VIZURI
BADO BURUDANI INAENDELEA IJUMAA YA TAREHE 22/08/2008 AMBAPO MWANAMUZIKI WA KIKONGO DEPLAIZIR ATAWASHA MOTO NDANI YA READING NA WACHEZA SHOO MACHACHARI KATIKA UMBUMBI WA FACE NIGHT CLUB SHOO NI MOJA TU!!

USIKOSE NI IJUMAA 22/08 BANK HOLLIDAY WEEK END NDANI YA READING (BBQ )NYAMA CHOMA MPAKA KUCHE
NI KUANZIA 10pm-4am
TIKETI ZINAPATIKANA CLUB 79London rd,
rumuors salon broad mall,
bongoflava shop,
roebuck pubrg6 1
ny £10 na £15 mlangoni
shoo nimoja tuu msikose!!!!
shoo nimoja tuu msikose!!!!
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...