
Mheshimiwa Mwenyekigoda wa Tegeta!
Toleo letu la kijarida Cheche kiko mitaani. Kama kawaida kikiwa kimejaa habari za kina, maoni huru zaidi na bila ya shaka kikiwa huru zaidi na chenye kuthubutu zaidi.
Yote ni katika kupanua wigo wa uhuru wa maoni nchini. Mtu yeyote anayetaka kuchapa na kusambaza anaruhusiwa kufanya hivyo bure kabisa. Anayetaka kuwa msambazaji wa kujitolea awasiliane nami.
Mhariri(at)klhnews.com
Jipatie nakala yako aidha kikiwa na rangi zote au katika "black and white"
http://www.klhnews.com/index.php/downloads/
Mhariri
Jipatie nakala yako aidha kikiwa na rangi zote au katika "black and white"
http://www.klhnews.com/index.php/downloads/
Mhariri
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...