makatibu muhtasi wa makamu mkuu wa chuo na naibu makamu mkuu wa yu-dom
jengo la mikutano na hafla pamoja na ofisi za yu-dom. humu ndimo CCM kilikuwa kinafanya mikutano yake mikuu ambapo mwaka 1985 benjamin mkapa aliteuliwa kugombea urais baada ya mtanange mzito baina yake, jakaya kikwete na mzee cleopa msuya
majengo ya chuo cha sayansi ya jamii
majengo ya chuo cha teknolojia
barabara ya kuelekea yu-dom sasa ni mkeka toka mjini dodoma. sehemu kiliko yu-dom ni pale pale lilipokuwa jengo la mikutano la ccm almaarufu ka ma chimwaga. jumla ya vyuo vitano vitajengwa katima maeneo hayo kwenye vilima vitano vya hapo chimwaga.
hivi sasa jumla ya wanafunzi 5000 wanatarajiwa kuanza masomo mwezi desemba na matarajio ni kuwa na wanafunzi 40,000 vyuo vyote vitano vitapokamilika. kuna tetesi kwamba hiki chuo kikuu cha yu-dom kitaweza kuwa chachu kubwa kwa serikali kuhamia dodoma

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...