JK akimpongeza Ofisa Uhusiano wa Tigo Jakson Mmbando alipotangaza mchango wa shilingi 10 kumi kutoka Tigo kwaajili ya mradi wa kuendeleza elimu mkuoani Ruvuma wakati wa harambee iliyoendeshwa na mh Raisi mwishoni mwa wiki na kubeba ujumbe ‘Changia elimu kujenga Taifa lililoelimika’ zaidi ya milioni 920 zilichangwa kwaajili ya kujenga madarasa na nyumba za walimu mkoani Ruvuma.
Ofisa Masoko wa Tigo Bi Vida Lulu Mbelwa (kushoto) akikabidhi hundi ya mfano ya shilingi milioni 4 kwa ofisa masoko wa Tanzania Standard News Paper (TSN) ikiwa ni udhamini wa kampuni ya Tigo katika midahalo ya shule za secondari (Arusha and Tanga Inter-school Debate) inayotarajiwa kufanyika katika shule nane za mikoa ya Tanga katikati ni Ofisa Uhusiano wa Tigo Bw, Jackson Mmbando

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...