BONGODJS ENTS BAADA YA SHOW YA MWANADADA KAREN "KAZ" KWENDA VIZURI BADO BURUDANI INAENDELEA IJUMAA YA TAREHE 22/08/2008 AMBAPO

MWANAMUZIKIWA KIKONGO

DEPLAIZIR

ATAWASHA MOTO NDANI YA READING NA WACHEZA SHOO MACHACHARI KATIKA UMBUMBI WA FACE NIGHT CLUB SHOO NI MOJA TU!!


USIKOSE NI IJUMAA 22/08 BANK HOLLIDAY WEEK END NDANI YA READING (BBQ )NYAMA CHOMA MPAKA KUCHE


NI KUANZIA 10pm-4am

TIKETI ZINAPATIKANA CLUB 79 London rd,

rumuors salon broad mall,

bongoflava shop,

roebuck pub rg6 1ny
£10 na £15 mlangoni

shoo nimoja tuu

msikose!!!!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...