
Squadi ya FC BONGO ikiwa mtumbwini wakirudi Helsinki kutokea stockholm na Kombe lao la kweli ambalo wamelitolea jasho baada ya kubamiza mataifa kibao, na kule stockholm wamewaachia kile kikombe mbuzi jamaa wa Kilimanjaro. Jamaa wa kili inasemekana wameapa hawatoenda kule helsinki mwakani, manake hizo fimbo watakazotayarishiwa na Scolari sio mchezo, pale stockholm tu kama isingekuwa refa basi mpaka sasa hivi wangekuwa wanajifungia majumbani.
We umeona wapi mpira umetoka halafu mtu anaurudisha uwanjani na kwenda nao golini na kufunga wakati wachezaji hata wa timu yake wamasimama wakijua mpira wa nje, lakini refa kapeta na kuonyesha kidole kati kuwa ni goli. tena dakika ya 110 utadhani ilikuwa muda wa nyongeza siku ya fainali!
Na bora wasiende huko finland, manake kama ushindi wenyewe walipewa na refa basi kiama wanacho wakiingia helsinki.
ReplyDeleteAcheni upumbumbavu wakijinga, yaani mkishinda nyie ndo ushindi, mkifungwa mmeonewa! Yaani nakukaa kote ulaya bado mnaule ushabiki wa manzese,"Kinesi cup" akina Faru dume na Kagera Rangers uwanja wa mwananyamala! Nyie mshafungwa katafteni mbinu za kimpira ili wakija mlipe kisasi sio maneno ya kisiasa ebo!
ReplyDeleteWewe unaejifanya mzanzibari 100%, manzese umeijulia wapi?, si bora uzungumzie ya mchamba wima. Au ndio huko kujifanya uzinzibari?, mzanzibari hana tone kama hiyo uliyonayo wewe,
ReplyDeleteebwana kweli ndio walivyo hao hata huku finland tunawajua hao..hawakubali kushindwa....afu michuzi eeh tangaza kwamba hawa jamaa walifungwa huko Sweden....
ReplyDeleteHata ukijipa jina feki unajulikana tu wewe MAJUTO MJUKUU. BONGO Fc wanatanua wewe utaishia kulewa peke yako kila siku. Wikiendi hii tunaelekea Tampere, wewe endelea kuona wivu tu.
ReplyDeletemziki wa kili si kitoto hapa kazi na dozi ....tunajua nyie ni watz wezetu majungu ndio nyumbani ila semeni habari za kweli extra time 4min we hizo 10min umezitoa wapi..kifupi ongeeni mtakavyo ila matokeo yatabaki kuwa hivi kili fc 4 na bongo fc 3,,haa haa habari ndiyo haa habari ndiyo
ReplyDeleteoyaa achane uchoko nyie bongofc kama mmefungwa basi heshimuni matokeo
ReplyDeleteHii ngoma ya Kilimanjaro na fc bongo ningeombwa irudiwe Neshno dar, manake ushabiki wamezidi kuliko simba na yanga. Sioni ubishani wa simba na yangu humu globuni bali kila siku ni makelele ya kilimanjaro na bongo fc. Hivyo kweli JK na Maximo wanajau habari zao hawa jamaa?.
ReplyDeleteMdau Washington.