nachukua nafasi hii kutoa asante kwa mh. kunitembelea na wakati huo huo kutoa ufafanuzi na kuomba radhi wadau wote kwa kwikwi iliyotuandama juma zima.
ni kwamba, katika juhudi za kufanya globu ya jamii iwe bora zaidi, tumepata server ambayo ina nafasi kubwa hata za kuanzisha libeneke la video kama tulivyoahidi awali. tatizo linakuja kwamba mitambo ya host wetu inakuwa ikiteleza mara kwa mara kudaka link ya globu ya jamii na kusababisha kwikwi ya mara kwa mara.
na ili kukomesha kwikwi hiyo imeonekana bora tuendeleze libeneke kwenye anuani ya issamichuzi.blogspot.com kama ilivyokuwa zamani wakati tukisubiri wahandisi wa host wetu arekebishe mambo.
kunradhi kwa usumbufu unaowapata wadau na nashukuru kwa jinsi maelfu ya wadau wanavyolifuatilia swala hili na kunipa moyo kuwa nisikate tamaa. nami naahidi kuendeleza libeneke bila kusita pamoja na kukumbwa na changamoto za kiufundi ambazo ziko nje ya uwezo wetu.
natumai mtaendelea kutuelewa na kutuvumilia
Tupo pamoja Kaka mpaka kieleweke..
ReplyDeleteIla nina ombi moja, kuhusu hili suala la word verification ambalo mara kwa mara limekuwa mzigo kwangu wakti nikitaka kutuma comment kiasi kwamba hufikia kipindi huwa ninaacha kuandika komenti yangu pale muda unapokuwa unanibana. Sasa Kaka unaonaje ikiwa utaitoa hiyo word verification ili kuturahisishia wadau kuandika komenti na kuituma bila kukumbana na matuta kama hayo ambayo hayana ulazima sana?
Ni hayo tu Mkuu, natumaini kuwa ombi langu utalifanyia kazi au utalipatia ufafanuzi iwapo ni kinyume na msimamo wako.
Ubarikiwe sana.
ADVICE
ReplyDeleteKaka michuzi kama vipi baki na address hihii maana naona kama wanakuzingua sana hao mahost wako.
tunamis sana mambo mkuu wa wilaya ya naniiiii
MICHUZI,
ReplyDeleteMJUMBE SI AUWAWI??- MI HUYU DADA KILA SIKU NASEMA HATA MUME WAKE AKINICHUKIA; SI SUPER ELEGANT, POSSES SOME QUALITY ON HER LOOK I CANT EXPLAIN. KAZANA DADA. KAKA UNATAKA KUWA KIONGOZI U HAV THAT PERSONA!
SHABIKI WAKO # 1 USA.
hana lolote uyo katibu wa ccm,kutafuta umaarufu tu mmeletwa ulaya mje msome mnashabikia mambo ya chama hamna lolote just waste your time
ReplyDeleteutakufa bado mdogo wewe wewe unafikiri ccm mchezo shauri yako kuna wazeee pale wanataka kul mpk kufa kwao
CCM MKEREKETWA
We Michuzi we,
ReplyDeleteAchana na Mikonozzzzz hiyo.
Mwanawasa KAVUTA huku.
Lete Breking Nyuuuzzzzzzzzzzzz hizo!
watu wanatafuta majina jamani ehee kweli kazi hipo
ReplyDeleteMkuu michuzi tuletee mambo achana na hao wakina dada wanakalia kujishauwa kwanza kuna mtu aliwauliza....Na pia mkuu badilisha host kwanza uliponunua hiyo domain name hakuna host??Badilisha bana achana na hao blogger wanakupotezea mda tu maana kila siku site yako ipo down wapige chini wanavyokusumbua watazani hela wanakutokea ya kulipia host au hiyo host ni ya bure???Pamoja mkuu host zipo nyingi na za uwakika kabisa sio hao blogger washamba tu....Pamoja
ReplyDeleteUmemwambia kwamba kuna kijana wetu anaenda london kutibiwa na tulikuwa tuna tafuta mtu wa kumpa hifadhi kwa wakati atafika pale kwa mda au umesahau kaka?
ReplyDeleteNaona mpogolo unawakilishwa...... hahahaha, wapi mtu na nusu?
ReplyDeleteBw. Misupu huyo dada hajafikia HADHI ya kuitwa MHESHIMIWA kwani tunafahamu fika kuwa Waheshimiwa wanaitwa watu kuanzia ngazi ya Ubunge na SI VINGINEVYO !!!!! Huwa nashangaa kila nisikiapo hata DIWANI wa KATA anaitwa MHESHIMIWA !!!!!! Wadau wenzangu ebu naomba MSAADA wenu kwa hili !!!!
ReplyDeletejamani tafadhali mheshimiwa gani anavaa tight jeans wakati wa safari ya publicity?maana kuja kwa michuzi ni publicity flani hivi.
ReplyDeleteMICHIZI,
ReplyDeleteMBONA UNABANIA MAONI YANGU??MIE MDAU NAMBA 1 WA BI SUZY, WALA SINA NIA MBAYA KAMA UNAVOYFIKIRI, KUMTAJA MUMEWE NI KWAVILE NAJUA KAOLEWA. KHAAAA MICHUZI KUMBE MCHUKIZI (HATER) NA WEWE.
BI SUZY-LAZIMA TULIENDELEZA MIE CAMPAING MANAGER WAKO USA