JK akiwa pamoja na baadhi Marais wa cnhi za SADC.Kutoka kushoto Rais Robert Mu8gabe wa Zimbabwe,Rais Bingu wa Mutharika wa Malawi,Katibu Mkuu wa SADC Dr.Tomaz Salomao,Mwenyekiti mpya wa SADC Rais Thabo Mbeki wa Afrika ya Kusini na Mfalme Mswati III wa SWAziland.Mkutano huo wa 28 wa jumuiya ya maendeleo ya uchumi Kusini mwa Afrika SADC unafanyika katika mji wa Sandton,Johannesburg Afrika ya Kusini.
Mshindi wa tuzo ya SADC kuhusu sekta ya Maji,kundi la waandishi wa habari Wa Gazeti la Guardian Tanzania Gerald Kitabu akipokea tuzo yake na cheti kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Zambia Bwana Kabinga Pande wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 28 wa SADC unaofanyika SANDTON Johhanesburg Afrika kusini. Picha za mdau Freddy Maro wa Ikulu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mugabe ni jasusi.. kawamaliza ndugu zake na sasa anaendelea kupeta... Heee Afrika tutafika kweli?

    ReplyDelete
  2. Ano.8:3pm Jasusi unamjua wewe acha kutukana watu. Unajua wapi katoka na nchi yake ulikuw aumezaliwa wakati yuko msituni au unacopy news na kuja huku. Mwache Jongwe we cheza na majasusi wa nchi yako wakuondolee vumbi kwanza.

    Londoner

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...