Fernando Torres struck a brilliant late winner as Liverpool beat Sunderland at the Stadium of Light.
Torres collected a Xabi Alonso pass, turned into space and rifled home a sensational drive into Craig Gordon's bottom right-hand corner from 25 yards.
Vipi na matokeo ya mechi ya kirafiki ya Simba na Polisi? Au ndio mkuu wa nanihii ya nanihii hujali vitu loko?
ReplyDeleteKAMA KAWAIDA YAKO MZEE WA KUBANIA WATU COMMENT ZAO,HAYA SASA BANA NA HII,
ReplyDeleteUNACHEKELEA NINI?????
NDO KWANZA LIGI INAANZA UNACHEKELEA HIVYO,IKIFIKA MAY JE UTAKUA USHACHOKA KUCHEKA WANACHEKA WENGINE.SO USIJICHEKESHE MAPEMA WAKATI LIGI INAONGOZWA NA BOLTON AU SIO?SUBIRI MAY NDO UCHEKEEE.WENYEWE HUWA WANAACHIAGA TUU BAISKELI ZA MITI ZITANGULIE KWANZA THEN WANAKUJA KUWAPITA TARATIIIIBU HADI MWISHO WA SIKU UNAJIULIZA KAFIKAJE HAPO?HABARI NDO HIYO.......BANA SANAAAANA LAKINI UTAACHIA TU CKU MOJA.