Kuna matatizo ya kiufundi yamejitokeza kwenye mtandao wa globalpublisherstz.com kuanzia asubuhi ya leo ambayo yamesababisha kutokufunguka kwa mtandao huo na pia web master kushindwa ku fanya up dates za leo.

Tunawaomba radhi wasomaji wetu kwa tatizo hilo ambalo linashughulikiwa ipasavyo na HOST wetu na ameahidi litakwisha baada ya saa kadhaa zijazo.
Kiufundi yalikuwepo mabadilko ya kuhama kutoka server moja kwenda nyingine ambayo yamesababisha hali hii.
Hatua ya kuhama ilikuwa ni muhimu kwa sababu za kiusalama na tunawaahidi kuwa tatizo kama hili halitajirudia siku zijazo.
Asanteni kwa uvumilivu wenu na tunawaomba radhi kwa usumbufu wowote mtakaoupata.

Web Master
Global Publishers Ltd
Dar es salaam
Tanzania
EA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. WEB MASTER hilo tatizo halijatokea leo asubuhi ,ni tangu jana kwani mimi hutembelea site yako kila siku na asubuhi ya hapo home ni mchana hapa ninapoishi, fanya makeke master tunahitaji sana ushirikiano wako.
    RUDEBWOYFACE!
    JAPAN.

    ReplyDelete
  2. tumemiss sana jitahidini jamani!

    ReplyDelete
  3. matatizo ya kiufundi au hawajalipia hosting charges??
    jamani mbona tunadanganyana vitu viko wazi wabongo lini mtakuwa wakweli? au unataka tu-prove mlikuwa hamjalipia?

    ReplyDelete
  4. Haijalipiwa license mpya kwa vile ile ya zamani imekwisha muda wake tangu saa sita usiku wa tarehe 14August.

    ReplyDelete
  5. -:) Inabidi nicheke tu maana kuna ukweli I was...na seems...
    Londoner

    ReplyDelete
  6. kweli watanzania tunatia aibu.unajua unakutana na mtu anavuja damu kichwani lakini anakwambia mimi sina matatizo.

    sasa hawa jamaa wanajitetea matatizo ya kiufundi, wakati majibu yako wazi!semeni tulisahau kulipia.du si mchezo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...