Ndugu, jamaa na marafiki,

napenda kuwafahamisha kuwa kijana mwenzetu maarufu kwa jina la ROYAL ambaye jina lake kamili ni - KULWA NDEGE STEVEN MSHONI (pichani) amepotea yapata wiki 3 na nusu hivi sasa.

Juhudi za kumtafuta zimegonga mwamba maana hata mahala anapoishi hajaoneka. Yeye hupendelea miji mikuu mitatu ya Tanzania - Dar es Salaam, Mwanza na Arusha na huko kote imeshindikana kupatikana.

Mara ya mwisho washirika walijaribu kupiga simu yake na akapokea mtu asiyejulikana na kuanzia siku hiyo simu hiyo haipatikani.
Kama una taarifa zozote kuhusiana na ndugu huyu tafadhali toa taarifa katika kitua chochote cha polisi au piga simu za mkononi zifuatazo:
0787 502 140
0713 290 434

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...