Ndugu WATANZANIA mwili wa marehemu Jacob Castory Mpogole sasa upo tayari kwa ajili ya kusafirishwa kwenda Tanzania na mipango imeshafanywa ya kuusafirisha mwili mwisho wa Juma hili.
Familia ya marehemu inashukuru kwa michango ambayo imetolewa hadi sasa ambayo kwa tathmini za mpaka jana usiku zilikuwa zimefikia £1300, lakini bado tunahitaji michango zaidi ili kuweza kufanikisha kusafirisha mwili wa marehemu katika muda uliopangwa.
Hivyo Watanzania wote na marafiki wa Tanzania mnaombwa kusaidi kuchangia chochote kile ili kufanikisha zoezi hili la kupeleka mwili wa marehemu katika sehemu yake ya mapumziko.
Kikao cha mwisho kitafanyika siku ya Jumamosi tarehe 16 Agosti 2008.
Bank:
LLOYDS TSB
Account Name: Mrs. Ummy H. Shella
Account Sort Code:77-91-09
Account Number:13923068
Call
Kassim-07985488194
Kassim-07985488194
Ummy-07962338257
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...