

mwogeleaji wa bongo kahlid yahaya rushaka akishindana katika michuano ya olympic huko beijing. katika kafia la kwanza aliibuka mshindi wa tatu katika kuogelea mita 5 staili huru. katika
aliporudi kwenye qualification aliibuka wa 84. soma zaidi kwa kubofya hapa
mwenyeji wa blog nakupongeza kwa kwa kumtia moyo huyu mwenzetu, nimeona taarifa hii kwenye blog nyingine yalikuwa negative.Tanznia tuko nyuma kwa kila sector, pia tunaytakiwa kuwa nyuma kuhusu hili swala la kukatishana tamaa na kushangilia wengine wanapoteleza au kuanguka. Upendo na kupeana moyo ndio utakao tukomboa.
ReplyDeleteHONGERA NDUGU YETU.
ReplyDeleteWABONGO TUNAPENDA KUPEANA SIFA BILA SABABU YOYOTE
ReplyDelete