Mwenyekiti wa THE UDSM Mwalimu Julius Nyerere Research Chair in Pan-African Studies Professa Issa Shivji akiongea na mbunge wa Kigoma Kaskazini Mh. Zitto Kabwe wakati wa mkutano wa 16 wa hali ya siasa nchini uliofanyika leo chuo kikuu cha UDSM
juu na chini ni wadau mbalimbali waliuohudhuria mkutano huo


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Al-akh maalim na mmiliki wa grocery ndogo ambapo wana udsm hujirusha kwa chapatain nae akiwemo. Zid maalim

    ReplyDelete
  2. Issa + kabwe = 2+2 = 5

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...