KAKA ISSA MICHUZI,
SALAAM SANA. NASHUKURU SANA SANA KWA KUTOA SHIDA YANGU KWENYE WEBSITE YETU HII YA JAMII.
HATIMAYE HUYU NDUGU YETU WOTE AMETUPIGIA JANA SAA 10.ALICHOTUELEZA NI KWAMBA, ALILAZWA HOSPITALINI TANGU JUNE NA HIVYO SIMU ILIKUWA IMECHUKULIWA.
ANASEMA HATA KUONGEA ALIKUWA HAWEZI...... JAMANI TUNAMSHUKURU MUNGU NDUGU WOTE TUMEFURAHI KUSIKIA SAUTI YAKE IKIASHIRIA UZIMA PIA.
MUNGU ANATUPENDA HIVYO NASI TUPENDANE KAMA NILIVYOPOKEA MAONI YA WATU MBALI MBALI NAPOLE NYINGI .
NAWASHUKURIU SANA WOTE AMBAO WALINIPA POLE MIMI BINAFSI.
BWANA AWABARIKI
AMINA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. mungu huwa siku zote ni mkubwa kwani vilivyopo duniani vyote ni mali yake,
    Anaweza kutenda mambo makubwa na mazito zaidi ya hayo,
    dada hongera sana kwa kumpata ndugu yako.

    ReplyDelete
  2. THUMBS UP TO MUHIDINI ISSA MICHUZI

    ReplyDelete
  3. michuzi tunaomba utuweke wazi,aliyepatikana ni nani kati ya wawili waliopotea.
    Je? ni Royal ama yule jamaa wa holland?

    ReplyDelete
  4. Hivi ndivyo watanzania tulivyo na tunatakiwa tulivyo, ni lazima tuifanye dunia hii kama inavyotakiwa kuwa si kama ilivyo sasa, tusiige tamaduni ambazo si zetu, mara nyingi na zote kwa asili watanzania ni wakarimu na watu wa kusaidiana ndo maana sasa hivi tumechanganyikana hamna ukabila tena, kabila letu ni mtanzania na lugha yetu ni kswahili, chonde chende tusaidiane na tuinuwani kwani chako ni chetu na changu ni chetu na mafanikio ya mtanzania yeyetu yanatakiwa kuwa yetu wote kwa namna moja ama nyingine, umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu. ONE COUNTRY, ONE WORLD ONE DREAM. Tusikubali kumuona mwenzetu, jirani anataabika pale ambapo tunaweza kumsaidia tumsaidie.

    ReplyDelete
  5. Bwana asifiwe. Anna, tell your brother we all love him. Big up Issa! HUGS watanzania.

    Grandma

    ReplyDelete
  6. mizimu yote ya ma babu ishukuriwe pia siyo mungu peke yake. kwani nilifanya manjonjo yangu kwenye kinu.na wakaniahidi kwamba bado ni mzima na wakanip dead line within aweek mambo yatakuwa poa.asanteni.mambo ya imani hayo ni wapi tu tachora mstari??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...