Home
Unlabelled
mzee mzima akijiachia beijing kwenye olimpiki
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
I LOVE THIS MAN, I TRULY DO. HE HAS MADE OUR LIVES IN AMERICA WORTH LIVING. RAISI HATAKIWI KUWA NA MA PRESSURE PRESSURE! I AM GONNA MISS U GEORGE! call me ;-)
ReplyDeleteMZEE KICHAKA HENNESY ZILIKUWA ZIMEMZIDI....TETETEEEEE
ReplyDeleteJamani kaka Michuzi,
ReplyDeleteMnamwita baba wa watu 'mzee mzima'? Kwani mlijuaje kama hajatahiriwa? Vibaya hivyo!
Yeah aliruka siku ya basketball match ya China na USA huyoo. this shows maisha sio white house tu, walikuwa oh! pollution sijui nini wapi...
ReplyDeleteLondoner
MNASHANGAA KWA NINI OBAMA HAPANDI KWENYE POLL. YUKO SO PERFECT TO BE TRUE RAISI WAMAREKANI LAZIMA ARELAX MACCAIN ANAKUJA JUU KWA SABABU NI MTU WA WATOTO NA ANACHAPA MAJI VILEVILE . OBAMA INABODI A RELAX . BUSH NINACHOPENDEA NDIO HICHO NI KAMA BABE MAGNET CLINTON BILL. WATOTO KWA SANNA KUJIRUSHA KWA SANA . OBAMA YEYE SO PERFECT HATA UKICHEKA UTAAMBIWA RACIST MAKUBWA.WANAWAKE TUNAPENDA MAPLAYER WANAUME WENYE SHERIA KALI WAENDE NA ELIMU ZAO .
ReplyDeleteQuit that nani kakuambia ni mzee mzima unahakika na hayo? Na sasa wewe umeenda kumpiga picha KICHAKA au Wanamichezo wetu.
ReplyDeleteAnon wa 11:12PM umenigusa uliposema "WANAUME WENYE SHERIA KALI WAENDE NA ELIMU ZAO" na mie naongezea "TO HELL WITH THEM" mie mwenyewe nimesoma lakini napendelea wanaume "BAD BOYS"....wanaume wenye vi-elimu mbuzi wanaboa, mzee Kichaka kwa kweli ni poa sana...dizaini hii anakuwa hana pressure na wala hakupi pressure, unamwona mkewe ambavyo ame-relax, maana ana-enjoy maisha yasiyokuwa na headache
ReplyDeleteKweli kabisa watu wengine wanajidai HESHIMA nyingi mpaka wanaogopa hata kucheka, wanaona watu wengine ambao wako cool, wana tabia mbaya,matokeo yake wao ndo hawana raha na they are not true to themselves in general,wanaishi mguu sawa all the time,ili Waheshimiwe na waogopwe.Hawajui wapi kwa kuwa serious wapi pa kurelax. Pole zao.
ReplyDeletewewe anon wa August 16, 2008 1:30 AM, aliyekuambia Kichaka hajaenda shule nani ? Ameenda Havard , swali alipasi ???
ReplyDeleteKichaka full kujiachia ndio maana hapendi magaidi maana wanafanya watu waishi kwa wasiwasi anaponimaliza mbavu kwenye bendera kaigeuza harafu hajari big-up man Kichaka.
ReplyDeletehehehe...mzee mzima...hehehe
ReplyDeletecomments zimenifurahisha sana...