the kilimanjaro band a.k.a wana-njenje bado wako juu kwa sana tu, ushahidi ukiwa wingi wa wadau wanaofurika na kuduarika kila jumamosi katika ukumbi wa new msasani club nyuma ya ubalozi wa marekani. hivi sasa wana vibao vipya kama sita hivi na hawana haraka ya kurekodi hadi vikolee kama kawaida yao. kumbuka bado wako katika sherehe za mwaka mzima za kutimiza miaka 35 toka bendi ianze. hongera babu njenje na wenzio kwa kuendeleza libeneke

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kuna yule mdada ana sauti tamu sana kama sijakosea anaitwa Nyota Waziri.

    Bado yupo?

    ReplyDelete
  2. michuzi! mi naona huo utaalamu unaotaka uweke kwenye blog yako ni unnecessary ndo maaana blog yako ina matatizo~! we 2lia 2 na hii hii, mambo fancy yanahitaji gharama!
    Thanx mdau Issa Shuk!
    Dirty South!!

    ReplyDelete
  3. Michuzi wewe mbaguzi sana wa habari,tumetoa malalamiko kuhusu watu wa posta,na nimekutumia malalamiko hayo kwenye email yako lakini hukuweka hewani..unaogopa nini kama ni mwandishi wa habari?acha ubaguzi bwana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...