

The Mission Band watakuwa RoseVille Minessota nchini U.S.A. tarehe 28/09/2008 saa 10:00 za jioni kwa Concert kabambe ya muziki wa Injili.
Itakuwa ni concert ya waafrica kutoka nchi mbalimbali zikiwemo Tanzania, Zaire, Uganda, Ethiopia, Zambia, Ghana, Kenya na zinginezo nyingi.
Kama kawaida watu wote wanakaribishwa kuhudhuria concert ya mwaka.
Kwa wale wanaotoka nje ya state na wanahitaji kufanyiwa taratibu za malazi tafadhari wasiliana na Mch. G. Mallisa (763) 843 - 0782.
Au tembelea tovuti yetu
pia unaweza kutuandikia katika e-mail yetu
kwa maelezo zaidi.
Michuzi, hivi kweli hao wakinadada na hizo jeans ni watu wa injili ile ya masia? Tight jeans na injili, wapi na wapi? Wadau hii imekaaje?
ReplyDeleteWabongo chuki binafsi hadi lini jamani? Fuata mafundisho ya injili usifuate mavazi yao....... Hata wakivaa baibui mtazua vya kusema tu. People need to stop hating
ReplyDeletekama unazungumzia mavazi ya kiinjili watu wa kale enzi hizo abazo zinasadikika kuwa walikuwa wakiongea na mungu,walikuwa wanavaa kama kanzu hivi kwa mujibu wa picha tunazoonyeshwaga.sasa sijui unataka wavae hivyo au? hayo mambo ya kanzu vaeni huko huko ushenzini kwani ujapanda ndege sikuhizi na kazu labda uwe unakwenda uarabuni. wewe kama unataka hizo dengriz za kubana sema watu wakufanyie mandingo au kama unaona huna cha kusema shut u r g''dam''ass
ReplyDelete