sehemu ya nje ya skwea ya mwalimu hapa dodoma
vodacom wamefadhili sana skwea ya mwalimu nyerere
sanamu ya malimu kwenye skwea yake
bustani safi
sehemu mwanana za kukatishia

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Beautiful place,I wish usafi uendee kuwa hivyo sehemu zote Tanzania!!
    Usafi ni tabia sio utajiri.
    Kazi nzuri wanaoshughulika hiyo bustani.

    ReplyDelete
  2. Wow! fantabulous (fantastic + fabulous)

    ReplyDelete
  3. the mnazi katikati pananikumbusha miaka ya 80 ilipokuwa soko kuu dom..before soko kuu la majengo... aishe pamependeza kwelikweli siku hizi!!!!nzogela a.b.

    ReplyDelete
  4. nice place.sehemu nyingi tanzania zikidumishwa usafi wa mazingira nchi itakua nzuri japokua hatuna majumba marefu mengi

    ReplyDelete
  5. Hongera Hongera Vodacom for stepping up! What a beautiful place.

    ReplyDelete
  6. inapendeza sana ila wangeongeza kupanda mitende/minazi. na aliesema kuwa hakuna magorofa nani akuambie magorofa sio maendeleo, nadhani nyerere hakutaka majengo marefu dom, afadhali waliondoa lile soko chafu, central sekondari alumni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...