kaka michuzi,
kwanza shikamoo''leo nataka kuwahakikishia wabongo kwamba wachina ndio wazee wa fake original''hizo nyufa zinapatikana ktk barabara ya SAM NUJOMA' nadahani unaitambua bado hata kwisha'basi hizo nyufa zipo nyingi kweli nimeona nikipiga kila nyufa memory card yangu itajaa nitakosa space kwa ajili ya picha nyingine'wabongo ndio walipa kodi watasema wenyewe maan hiyo ni road yao.
MICHUZI TUWEKWW VITU VYA MAANA BWANA MAANAHIZO BARABARA UNATUOGOPESHA TUSIRUDI NYUMBANI ADVITISE NCHI VIZURI
ReplyDeleteAcha kuzuga watu wewe ni contractor nini umenyimwa tender?Eti memory card itajaa!!!picha yenyewe ni ufa huo mmoja ila umepiga kidizain sehemu tofauti,tutaaminije ni wachina?wakati weye mwenyewe huaminiki?labda ufa wa nyumbani kwako unasema Sam Nujoma.Kawadanganye wengine wadanganyika kwa sasa wameishashtukia madili ya wasanii(mafisadi) wa kibongo.
ReplyDeleteKwa hio umeona uje utafute support kwa Michuzi?Umemiss target man.
Cha chandu - UK
Hizo nyufa kwenye picha ni sehemu ya kazi inayoendelea. Hiyo barabaro bado hipo kwenye kujengwa !
ReplyDeleteHizi picha mbili zinaonyesha mahali pamoja tu. Mpiga picha amesimama sehemu tofauti na kupiga picha za mahali hapo, halafu anatoa madai kuwa kuna nyufa nyingi kwamba akijaribu kuendelea kupiga picha, atajaza kamera yake. Huyu jamaa anapaswa ajue kuwa tuko wenye akili zetu timamu. Tuwe makini na kauli zetu.
ReplyDeleteWaziri Mkuu tia timu siku moja ziara isiyo na mahandarizi,Sio unamwachia JK kilakitu.Viongozi mkionyesha kujari atutapigwa changa la macho kila sehemu
ReplyDeleteSerikali inatowa pesa nyingi kuwapa wa China. China wanadai wanatusaidia kimsaada si kweli ukitizama nchi yetu uchumi tunauuza kwa wa China. Kweli nyufa chukuwa chepeo chota kwa chini unanyanyuka nazo kabisa rahisi. Tizama sehemu ya udongo na nyufa ni sawa na kupaka rangi ya zege kijitope cha zege kupaka hapo pesa zinaenda na maji jenga kitu hali lakini kitakaa kwa miaka, sasa kitu ku save pesa wakati kila siku kinaharibika sawa na kupoteza pesa. Italy Pia Magari Feki wanayo Ferari Feki zinauzwa kama mtu ana picha atuwekee humu plz. from Udongo mweusi.
ReplyDeleteNyufazz ndiyo zinawafaa wabongo mchina ajakosea kabisa yani kwani mkijengewa kitu cha maana hamchelewi kuweka maandishi yenu na wengine hata kunya kabisa kwa kuzania ni kichaka.uliona wapi wewe mtoto akalala na hela,mtoto yake mavi
ReplyDeleteMbega
mdau mambo bado hiyo ni temporary tu vitu vutamwagwa baadaye tulia
ReplyDeleteKama nyufa ni nyingi mbona umepiga picha hizo zote mbili sehemu moja? Ungepiga na za sehemu nyingine. Sisi tutaamini vipi wakati picha zote mbili zinaonyesha kitu kimoja.
ReplyDeleteAliyeongea Kuhusu Wa China kasema ukweli ila turudi kwenye huyu mpiga picha sawa na wale wazungu wapondaji wasehemu wanaigiza hollywood wanasema africa au kwenye news zao mtu kaharibu binadamu tunaanza kuwaamini wazungu news zao sio bible au quran. Hizo picha kapiga sehemu moja kageuza huku kule kule huku hujampata mtu hapa HA-HA-Ha jaribu tena bahati na sibu unaleta usanii wa kununuwa cheni kwa pesa feki kumbe na cheni muuzaji cheni feki- Bila Bila kaka. from Uswazi ndio Home na Ndio lugha yetu.
ReplyDeleteAti wabongo ndio walipa kodi na wewe ni nani? umetukimbia au huna uchungu na nchi yako tena. Unaenjoy kulipa kodi baada ya kufuta vizee huko.
ReplyDeleteKumbuka kuna kuzeeka ndugu yangu ...leo wabongo ndio walipa kodi kesho utarudi ukikimbia huko kwa vile unakalia kulipa kodi tu lakini longterm care yako huna kabisa huko....
Usirudi mzee hapa ubaki huko huko.
Ati wabongo ndio walipa kodi na wewe ni nani? umetukimbia au huna uchungu na nchi yako tena. Unaenjoy kulipa kodi baada ya kufuta vizee huko.
ReplyDeleteKumbuka kuna kuzeeka ndugu yangu ...leo wabongo ndio walipa kodi kesho utarudi ukikimbia huko kwa vile unakalia kulipa kodi tu lakini longterm care yako huna kabisa huko....
Usirudi mzee hapa ubaki huko huko.
Umenyimwa tenda basi tena majuungu.
ReplyDeleteWabongo kazi ni kulalama tu. Hatuwezi hata kuanglia ni kitu gani hasa tunalalamikia? ukiangalia hiyo picha, kwa nini huwezi kufikiria sababu za tatizo lililopo kabla ya kumlaumu mchina? Wachina wamemwaga zege, kabla halijakauka mnapitisha mikokoteni na madaladala yenu mnategemea nini? Hii barabara ya Sam Nujoma imelalamikiwa sana. kusema ule ukweli, hii ni barabara nzuri mno (naweza kusema sijaona kama hiyo hapa TZ). Tuone aibu jamani, sisi wenyewe ndio tatizo. Nashauri huyu mpigapicha apige pia sehemu za vituo vya daladala vilivyoibiwa nguzo na mabati katika barabara ya morogoro na amlaumu mchina pia. Tumekosa medali Olympiki tumlaumu mchina! Mchina, mchina... Mchina!!
ReplyDeletechina ınaongoza kwa vitu visivyo imara duniani kote.mi nashangaa y bongo tunawangangania hawa?au bidhaa zao rahisi?nashindwa kuelewa
ReplyDeleteBrother zile nyufa za barabara ya Sam Nujoma ni matokeo ya Tabia yetu sisi wabongo hasa madereva kutokuwa na ustaaarabu wa matumizi ya barabara ni madereva wa bajaj,taxi na daladala pale ubungo walikanyaga na vyombo vyao vya usafiri kabla zege halijakauka vizuri, for the first time let be on the chinaese side.
ReplyDeleteInasikitisha sana kuona watu mnalaumiana na kutukanana kwa sababu ya picha inayoeleza ukweli. I don't care picha hiyo imechukuliwa kinamna gani lakini in short ni kwamba contractor hapo alichemsha na yote hiyo ilikuwa ni kubana matumizi au wizi fulani ulifanywa bila kujua kuwa hatimae siri itafichuka. Hiyo slab moja kwa moja inaonyesha kuwa haikuwekewa "wire mesh" au "iron bars" kama inavyotakiwa kitaalam. Macontractor wengi wanafanya hivyo kwa kuwa serikari yetu haitilii nguvu accountability katika mambo mengi hivyo watu wanachojali ni kulipua tu kazi na kupata malipo hata kama kazi ni chafu. Lazima tuwabane watu wote wanaopewa contracts kama hizo ikiwa ni pamoja na kuridia upya kufanya hiyo kazi kama kasoro zitajitokeza kabla ya muda walioahidi kiutalamu kufikia.Jamani ndugu zangu naomba tusiwe tunagombana au kutolea lugha chafu ktk masuala kama haya ya kuchangia mawazo ya maendeleo. Ni nakubali kuwa watu lazima watakuwa na different opinions kitu ambacho kinakubalika lakini kuanza kutoleana maneno machafu(K.m. Kusafisha BM Ya vizee) kuna dhihirisha jinsi ambavyo watu wengine kukua kimwili na sio kiakili. Jamani watanzania naomba tupendane kikweli na sio kwa mamneno tu au kwa nguo tu za bendera za kitanzania. God Bless Tanzania.
ReplyDelete